Ndii hivyo mkuuItabidi tuamini hapa JF kwamba hii ndio CV yake muhimu, maana siku mbili sasa, na takribani kurasa 23 na mabandiko zaidi ya 400; hakuna mwenye uthubutu wa kuweka anayekijua kuhusu huyu Furaha. Hii ni sababu tosha kwamba huyu katumwa.
Mmmh Mimi sikuchagua yeyotee...wewe je!??Mpaka muda huu nasikia story kadhaa zisizo na uthibitisho.
Muda si mrefu kila kitu kitakuwa wazi..
Usisite kunijuza...nyie mlimchagua nani!??
Yani wewe ndio unazidi leta Speculation.Niko kwenye site. Nakuhakikishia hakuna namna huyu jamaa angepata hizo kura kwa nguvu zake. Ni maagizo kutoka juu na yamesimamiwa kilivyo. Una habari Makonda alitaka kugombea kupitia hili jimbo lakini akakwama kutokana na nguvu isiyoonekana ya huyu jamaa? Usione vyaelea ndugu vimeundwa. Hizi ni info za ndani nakupa na siyo speculations
Mimi pia ....waliochagua wameshatuwakilisha.Mmmh Mimi sikuchagua yeyotee...wewe je!??
Naona wachangiaji wanaukwepa huu ushahidi wako, utadhani hawauoni! Asante sana Ukwajuhumu JF wapo waliopiga kura na waliopigiwa wanaijua SIRI ya hapo ukumbini na nashagaa hawataki kuchangia
pasco Mayalla alikuwepo Ukumbini na aliona yote na kusikia na inasemekana alipata Kura moja ya John baptist kwa hiyo huyu Yohana Mbatizaji hakumpigia Furaha Mshindi ndiye angetueleza Ukumbi ulichafukaje au ulikuwa salama
Mwenye kisu kikali ndiye Mshindi
Maana nilikua nakataa kudanganywa..mfano Mwalimu aliniambia eti Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na Mzungu Rebman na Krapft mimi nilikataa kabisa nikamwambia labda aseme kua ni Wazungu wa kwanza kufika pale.Unanipoteza mda tu, inaonekana walimu wako shule walikuwa na kazi ya ziada
Kwahiyo ndio maana ameshinda? Hizi ni akili matope.Huyu ni mtoto wa dada nadhani utakuwa umeng'amua
Wapi umeona najadiri siasa.. kueleza kwamba una mfahamu tayari nayo imekuwa siasa ?Maana nilikua nakataa kudanganywa..mfano Mwalimu aliniambia eti Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na Mzungu Rebman na Krapft mimi nilikataa kabisa nikamwambia labda aseme kua ni Wazungu wa kwanza kufika pale.
Sasa wewe unasema hutaki Siasa lakini apo apo unajadiri siasa kwenye jukwaa la siasa.
Kuna sehemu nimesoma wanasema ni Anko wa mkubwaIko wazi kabisa kuna walakini katika mchakato wa jimbo la kuwania Kiti cha ubunge Jimbo la Kawe ..
Harufu ya Rushwa imetawala.
Kijana Furaha Dominic Jacob ni mtu asiyejulikana kabisa ndani ya chama ,hii si tija bali tizama pia namna alivyozungumza kwa nyodo ,mbwembwe na dharau lakini yeye ndiye akaja ibuka mshindi...
Hpo hajawa mbunge, akiwa Mbunge sijui nyodo zake zitakuwaje?Iko wazi kabisa kuna walakini katika mchakato wa jimbo la kuwania Kiti cha ubunge Jimbo la Kawe .. Harufu ya Rushwa imetawala.
Kijana Furaha Dominic Jacob ni mtu asiyejulikana kabisa ndani ya chama ,hii si tija bali tizama pia namna alivyozungumza kwa nyodo ,mbwembwe na dharau lakini yeye ndiye akaja ibuka mshindi...
MKONO WA MZEE MAGUHongera Furaha, sayansi gani katumia huyu kijana kuwabwaga wenzake 175? tujifunze kwa anaejua atujuze!
Sijasikia huyu Mluguru kama alienda omba kura za maoni kwao Morogoro, tupo naye kila siku.
Aliyexhemsha ni Katambi Mkuu wa Wilaya kenda jaribu kimebuma, mwenzake Deo Ndejembi Mjukuu wa Mzee Ndejembi (Mkuu wa wilaya ya Kongwa) kafanikiwa Jimbo la Chilonwa na kapeta kwa kumzidi Mbunge aliyeko (Mh Mwaka)
Inaelekea hakuwa anafahamika sana na wengi.