Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Ni Kijana Mmoja Mnyenyekevu, Mkarimu, Mwerevu, siyo Mjivuni kama Mtu Mmoja aliyekimbilia Kutuomba Msamaha, ana Elimu yake nzuri tu, anakubalika na wana Kawe na wala hahitaji kwenda Kuosha Nyota yake Kijijini ' Usukumani ' Kishirikina ( Kiutamaduni ) kama wengine, siyo Maarufu Mitandaoni kama walivyo Waomba Misamaha ya ' hovyo hovyo ' Kwetu, hana Unafiki, Sanifu na Dharau kama Waliotuomba Misamaha na mwisho ni Mtu wa Watu hasa.

Mtoto Mdogo ( Kijana ) ambaye hana hata ' Umaarufu ' ulionao anapata Kura 101 halafu Kongwe, Jivuni na Jitu lenye ' Kiherehere ' linaambulia Kura yake 1 tu.Hongera sana Kijana Furaha Dominic Jacob japo najua una Kazi ' pevu ' kwa Dada yangu Halima Mdee ila nakuamini utamshinda na kuwa Mbunge tu.

Kwa wale ambao hamjapata Matokeo ya Mwisho haya hapa tafadhali....

1. Mr. Furaha Dominic Jacob 101
2. Mrs. Angela Daisy Kizigha 85
3. Mr. Mathias Josephat Gwajima 79
4. Mr. Benjamin Samuel Sitta 61
5. Mr. Kipi Joseph Warioba 3
6. Mr. Njaa Naombeni Msamaha 1

Kila la Kheri!
 
Ndan ya Chama alikuwa nan? Kwa kura hzo maana yake tayar ana nafasi ya umaarufu au jina ndan ya ccm-kawe
Msaada tutan

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kwani ndio amepitishwa kupeperusha bendera ya CCM October? Kwa nini usisubiri majibu ya mkutano mkuu ndio uje tujadiri huu utopolo wako?
 
Ndan ya Chama alikuwa nan? Kwa kura hzo maana yake tayar ana nafasi ya umaarufu au jina ndan ya ccm-kawe
Msaada tutan

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app

Ndani ya Chama alikuwa ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi. Kama una Maswali mengine tafadhali Kawaulize akina Bashiru na Polepole.
 
Gwajiboy kama DAB, ameusaliti ukuhani nayeye katoswa na wapiga kura
 
Kwani ndio amepitishwa kupeperusha bendera ya CCM October? Kwa nini usisubiri majibu ya mkutano mkuu ndio uje tujadiri huu utopolo wako?
Haitaji kusubir kupitishwa ndo tuje kumjadili, fahamu pia aliyepambanishwa naye tayar weng wao wana majina na wanajulikana tofaut na Furaha.
Kushinda Vigogo ni moja ya sababu inayotupa nguvu kumjadili

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…