Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Huyu dogo ametemgenexewa genge la vijana wa uvccm, ili ainekane kama stars mfano wa kina diamond.

Atakuwa kila akipita na msululi wa walinzi etc .

Wasukuma kipindi hiki.mna raha..[emoji1][emoji1][emoji1]
Huyu dogo hajateuliwa na mtu kuwa hapo bali hiyo ni nomination. Kachaguliwa na watu kwa maana nyingine anajulikana nao. Kama angekuwa mtoto wa Sister kwa nini hakuchaguliwa na watu wote?! Mbona tunapenda kujiunganishia vitu? Paskali siyo msukjma? Mbona kapata kura moja? Dogo anaitwa Furaha Dominic Jacob, unaconclude vipi kama ni msukjma? Hata kama ndiyo, kuna dhambi msukuma kujulikana na wajumbe na kuchaguliwa? Acha mawazo ya kimaskini mkuu wangu. Pambana.
 
Huyu ndiye Mjomba wa Magufuli aliyeshinda Kura za Maoni Kawe. Yupo GCLA(maabara ya Taifa) yeye ndo incharge, pale hamna mtu wa kumpinga akisema hold mzee ni hold hamna wa kukupa release hata uende wapi, anaishi masaki kwa sasa. Hata cheo alichonacho ni figisu-figisu.

#Wasifu:
Jina: Furaha Dominic Jacob
Kazaliwa: Chato Kagera
Shule: Chato Secondary School
Shule: Makongo High school
Chuo : DIT
Reseach: Technician at International Institute of Tropical Agriculture (IITA)

Na Kwa sasa anaishi Dar es salaam
Mtoto wa dada yake Rais MAGUFULI.View attachment 1512953
Sifa ulizo mpa kweli ni zake ndio maana pale hakujieleza na akashinda!
 
Furaha Dominic Jacob

Kazaliwa: Chato Kagera
Shule: Chato Secondary School
Shule: Makongo High school
Chuo : DIT
Reseach: Technician at International Institute of Tropical Agriculture (IITA)

Kwa sasa anaishi Dar es salaam

☝️

Ni mpwa
 
Attachments

  • IMG_20200722_101317.jpg
    IMG_20200722_101317.jpg
    75.7 KB · Views: 2
Punguzeni ujuaji, Furaha ni kijana safi sana. Mama yake ni Mwl wa zakhia meghji sec IPO Chato, ndiyo ni ndugu wa mjomba lakini hajabebwa.

Kuhusu kitengo yaweza kuwa ni mwanakitengo, wajomba zake wengi walikuwa au ni watumishi wa jwtz, polisi na magereza. Ile familia ya mama yake ni wajeshi kweli kweli kabla hata magu hajamaliza darasa la saba.

Babu yake ni x soldier! Kapigana vita ya pili ya dunia, ndio wazee wa Chato waliokuwa wanaongea na baba Makongoro.

Furaha ni waziri, kazaliwa 1991!
 
Huyu dogo hajateuliwa na mtu kuwa hapo bali hiyo ni nomination. Kachaguliwa na watu kwa maana nyingine anajulikana nao. Kama angekuwa mtoto wa Sister kwa nini hakuchaguliwa na watu wote?! Mbona tunapenda kujiunganishia vitu? Paskali siyo msukjma? Mbona kapata kura moja? Dogo anaitwa Furaha Dominic Jacob, unaconclude vipi kama ni msukjma? Hata kama ndiyo, kuna dhambi msukuma kujulikana na wajumbe na kuchaguliwa? Acha mawazo ya kimaskini mkuu wangu. Pambana.
Nani kasema sio Msukuma, mbona Post za nyuma wameshaweka CV yake
wengine ni michosho tu humu ndani mnatutafutia BAN
km hujui lolote usidandie treni kwa mbele
hapa tupo kimachale tunamsubiri kawe Alumini aje ajitete humu nanyi mnakuja na ma ID mengine kuvuruga
Kawe imeangukia kwa Halima Mdee hakuna ubishi hapo. dogo hata saa 4 asubuhi hatapita
 
Ni Kijana Mmoja Mnyenyekevu, Mkarimu, Mwerevu, siyo Mjivuni kama Mtu Mmoja aliyekimbilia Kutuomba Msamaha wake wa Kipopoma / Kipumbavu na Mnafiki, ana Elimu yake nzuri tu, anakubalika na wana Kawe na wala hahitaji kwenda Kuosha Nyota yake Kijijini ' Usukumani ' Kishirikina ( Kiutamaduni ) kama wengine, siyo Maarufu Mitandaoni kama walivyo Waomba Misamaha ya ' hovyo hovyo ' Kwetu, hana Unafiki, Sanifu na Dharau kama Waliotuomba Misamaha na mwisho ni Mtu wa Watu hasa.

Mtoto Mdogo ( Kijana ) ambaye hana hata ' Umaarufu ' ulionao anapata Kura 101 halafu Kongwe, Jivuni na Jitu lenye ' Kiherehere ' linaambulia Kura yake 1 tu.Hongera sana Kijana Furaha Dominic Jacob japo najua una Kazi ' pevu ' kwa Dada yangu Halima Mdee ila nakuamini utamshinda na kuwa Mbunge tu.

Kwa wale ambao hamjapata Matokeo ya Mwisho haya hapa tafadhali....

1. Mr. Furaha Dominic Jacob 101
2. Mrs. Angela Daisy Kizigha 85
3. Mr. Mathias Josephat Gwajima 79
4. Mr. Benjamin Samuel Sitta 61
5. Mr. Kipi Joseph Warioba 3
6. Mr. Njaa Naombeni Msamaha 1

Kila la Kheri!
Issue ni je, anaweza kumhimili Mdee?
Huyu bwana mdogo mimi naomba wamshauri ampe Gwajima nafasi, kama kweli CCM wako serious kuchukua jimbo hilo. Gwajima tu ndiyo mimi nina uhakika kabisa kuwa anaweza kumng'oa Mdee, hawa wengine hakuna, hicho kitu hakipo. Huyu dogo atatimuliwa vumbi na Mdee hataweza kuiona barabara itabidi apaki gari pembezoni mwa barabara. Tupo yetu macho
 
#WAGOMBEAWENGI WALIOPITA MAOMBIYAOOO KILA SIKU KWA MUNGU

#WATEGEMEEATAKAVYOAMKA
 
Punguzeni ujuaji, Furaha ni kijana safi sana. Mama yake ni Mwl wa zakhia meghji sec IPO Chato, ndiyo ni ndugu wa mjomba lakini hajabebwa.

Kuhusu kitengo yaweza kuwa ni mwanakitengo, wajomba zake wengi walikuwa au ni watumishi wa jwtz, polisi na magereza. Ile familia ya mama yake ni wajeshi kweli kweli kabla hata magu hajamaliza darasa la saba.

Babu yake ni x soldier! Kapigana vita ya pili ya dunia, ndio wazee wa Chato waliokuwa wanaongea na baba Makongoro.

Furaha ni waziri, kazaliwa 1991!
Bado Mdee ngoma nzito muno, huyu kijana hawezi hata kidogo kumu-handle Mdee. Tusubiri lakini
 
Issue ni je, anaweza kumhimili Mdee?
Huyu bwana mdogo mimi naomba wamshauri ampe Gwajima nafasi, kama kweli CCM wako serious kuchukua jimbo hilo. Gwajima tu ndiyo mimi nina uhakika kabisa kuwa anaweza kumng'oa Mdee, hawa wengine hakuna, hicho kitu hakipo. Huyu dogo atatimuliwa vumbi na Mdee hataweza kuiona barabara itabidi apaki gari pembezoni mwa barabara. Tupo yetu macho

Sikujua kama kumbe hapa JamiiForums bado kuna Watu wana uwezo mdogo ( finyu ) wa Kuchambua Masuala ( Issues ) na hata Kuyaelewa huku wakiwa na Kumbukizi mbalimbali za Kimantiki. Labda nikusaidie tu hata Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere alipokuwa akitaka Kuongoza na Kugombea wapo ' Wapumbavu ' waliokuwa na Fikra ' dhaifu ' kama hii yako ila baadhi ya Wazee kama akina Rupia, Kawawa na wengine baadhi wakasema agombee huyo huyo Mwalimu japo kuliwepo wenye Uwezo zaidi yake ( hasa Kiumaarufu ) huku wengine wakiwa ni ' Washirika ' wa Waingereza ambao tulikuwa ' Koloni ' lao. Je, Mwalimu Nyerere ( Hayati ) pamoja na ' Kudharaulika ' kule na kutokuwa ' Maarufu ' kama ambavyo Wewe unaona alivyo huyu Kijana Mwongoza Kura za Maoni Jimbo la Kawe Furaha Dominic Jacob aliposhinda na Kutuongoza hakuwa Kiongozi mzuri hadi dunia ikamkubali na leo hii ' tunamlilia ' na Watawala wengi wanaiga uliokuwa Uongozi wake? Hoja yako imekaa ' Kidharau ' na ' Kiubaguzi ' mno na imenikasirisha zaidi. Halafu ni nani alikuhakikishia kuwa endapo CCM itaamua kumpa huyo umtakaye Wewe Askofu Gwajima basi ndiyo atashinda? Maamuzi ya wana Kawe ( hasa Sisi Wapiga Kura ) unayamiliki Wewe? Wana Kawe ulikaa nao Kikao wapi wakakuambia kuwa huyu Kijana ' akitolewa ' na kuwekwa huyo Gwajima wako ndiyo CCM itashinda? Umenikera mno ila ngoja niishie hapa nisije nikachafua bure ' Hali ya Hewa ' Kwako.
 
Ni Kijana Mmoja Mnyenyekevu, Mkarimu, Mwerevu, siyo Mjivuni kama Mtu Mmoja aliyekimbilia Kutuomba Msamaha wake wa Kipopoma / Kipumbavu na Mnafiki, ana Elimu yake nzuri tu, anakubalika na wana Kawe na wala hahitaji kwenda Kuosha Nyota yake Kijijini ' Usukumani ' Kishirikina ( Kiutamaduni ) kama wengine, siyo Maarufu Mitandaoni kama walivyo Waomba Misamaha ya ' hovyo hovyo ' Kwetu, hana Unafiki, Sanifu na Dharau kama Waliotuomba Misamaha na mwisho ni Mtu wa Watu hasa.

Mtoto Mdogo ( Kijana ) ambaye hana hata ' Umaarufu ' ulionao anapata Kura 101 halafu Kongwe, Jivuni na Jitu lenye ' Kiherehere ' linaambulia Kura yake 1 tu.Hongera sana Kijana Furaha Dominic Jacob japo najua una Kazi ' pevu ' kwa Dada yangu Halima Mdee ila nakuamini utamshinda na kuwa Mbunge tu.

Kwa wale ambao hamjapata Matokeo ya Mwisho haya hapa tafadhali....

1. Mr. Furaha Dominic Jacob 101
2. Mrs. Angela Daisy Kizigha 85
3. Mr. Mathias Josephat Gwajima 79
4. Mr. Benjamin Samuel Sitta 61
5. Mr. Kipi Joseph Warioba 3
6. Mr. Njaa Naombeni Msamaha 1

Kila la Kheri!
Pasco ameshapigwa, tusimwongezee! Tuwe na huruma bandugu!! Jamii Forum ni moja!
 
Sikujua kama kumbe hapa JamiiForums bado kuna Watu wana uwezo mdogo ( finyu ) wa Kuchambua Masuala ( Issues ) na hata Kuyaelewa huku wakiwa na Kumbukizi mbalimbali za Kimantiki. Labda nikusaidie tu hata Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere alipokuwa akitaka Kuongoza na Kugombea wapo ' Wapumbavu ' waliokuwa na Fikra ' dhaifu ' kama hii yako ila baadhi ya Wazee kama akina Rupia, Kawawa na
Usiwe unatukana kwenye mitandao, hata kama umetukanwa. Iwe mwanzo na mwisho
 
Habari,

Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?

Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe?

Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?

Halima Mdee njoo uchukue kura yangu, inakungojea wewe tu
 
Habari,

Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?

Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe?

Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?

Uyo dogo kawekwa na mjomba
 
Shati lake limepaukaaaaaa....inaonekana kabisa choka mbayaaaa...kashindaje ati?
Unamjudge mtu kwa nguo na mwonekano!!, unaweza ukapata picha tofauti kabisa na uhalisia. Kuna watu huku wana pesa chafu ukikutana naye waweza dhani ni kibarua wa mtu tu.
 
Back
Top Bottom