Furaha Dominic: Rais Samia awe mwangalifu na hao waliomzunguka, wengi wao ni Wafitinishi (KUPE) walimdanganya Magufuli!

Tuwekee walivyo jadili
 
Anamlilia mjomba huyo hana lolote

Anyway, kwanini umemtaja Pascal Mayalla kushika nafasi ya 162 badala ya Gwajiboy aliyeshika nafasi ya 2 au ya 3? sielewi
 
Bwana Kiroboto
Naona unapambana kweli kweli kuwaanika wahuni.
 
Na ule ukwasi kwa muda mfupi sanaa...anataka kutuambia nini ?? Soon anazindua TV yake.....mtumishi wa serikali ....hata miaka 10 kwenye ajira anafuga Tv na FM radio ....
 
Hahahahahahaaa!! Dawa imemuingia. Atulie km walivyo tulia wakati na yy anakula kipindi kileeee
Alikula au aliliwa, alikamatwa wakamsweka ndani na ubunge wakampiga chini.
 
Mambo ya CCM hayo. Kikundi chenye laana ya ubaguzi nchini.
 
Kwahio huyu Furaha anaijua CCM kuliko Samia ?

Kwenye kundi la watu wafitini kufitiana ni kawaida huenda mfitini wa leo akawa mfitiniwa wa kesho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…