johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Amesema wengine walizushiwa kesi kwa fitina tu!Ni kweli kabisa anayosema huyo Furaha, watu wamekalia fitna, majungu na kupakaziana kashfa za ajabu ajabu !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema wengine walizushiwa kesi kwa fitina tu!Ni kweli kabisa anayosema huyo Furaha, watu wamekalia fitna, majungu na kupakaziana kashfa za ajabu ajabu !!
Tuwekee walivyo jadiliFuraha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka.
Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope, kufitinishana, kuchongeana na kusingiziana huku KUPE wa chama wakimnyonya damu Rais.
Furaha amesema ameshuhudia mengi sana katika utawala wa mjomba wake ( Magufuli) ikiwemo yeye mwenyewe kudhibitiwa na kikundi cha Wasiojulikana ili asigombee ubunge
Furaha alikuwa akihojiwa na Ernest Nyanda katika kipindi cha The Big Agenda, Star tv.
Mjadala ulikuwa mkali na Furaha alionekana akifuta machozi mara kwa mara huku mtangazaji Mtozi akimfariji.
Mahijiano yataendelea tena Ijumaa kwani jana hayakukamilika.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kama Furaha analizwa na CCM wewe ni nani hadi Uchekelee?
Anamlilia mjomba huyo hana loloteFuraha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka.
Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope, kufitinishana, kuchongeana na kusingiziana huku KUPE wa chama wakimnyonya damu Rais.
Furaha amesema ameshuhudia mengi sana katika utawala wa mjomba wake ( Magufuli) ikiwemo yeye mwenyewe kudhibitiwa na kikundi cha Wasiojulikana ili asigombee ubunge
Furaha alikuwa akihojiwa na Ernest Nyanda katika kipindi cha The Big Agenda, Star tv.
Mjadala ulikuwa mkali na Furaha alionekana akifuta machozi mara kwa mara huku mtangazaji Mtozi akimfariji.
Mahijiano yataendelea tena Ijumaa kwani jana hayakukamilika.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kama Furaha analizwa na CCM wewe ni nani hadi Uchekelee?
Ni msisitizo wa siasa chafu za Kawe!Anamlilia mjomba huyo hana lolote
Anyway, kwanini umemtaja Pascal Mayalla kushika nafasi ya 162 badala ya Gwajiboy aliyeshika nafasi ya 2 au ya 3 zijui
Nileteeni GwajimaFuraha amesema ameshuhudia mengi sana katika utawala wa mjomba wake ( Magufuli) ikiwemo yeye mwenyewe kudhibitiwa na kikundi cha Wasiojulikana ili asigombee ubunge
Bwana KirobotoFuraha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka.
Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope, kufitinishana, kuchongeana na kusingiziana huku KUPE wa chama wakimnyonya damu Rais.
Furaha amesema ameshuhudia mengi sana katika utawala wa mjomba wake ( Magufuli) ikiwemo yeye mwenyewe kudhibitiwa na kikundi cha Wasiojulikana ili asigombee ubunge
Furaha alikuwa akihojiwa na Aloyce Nyanda katika kipindi cha The Big Agenda, Star tv.
Mjadala ulikuwa mkali na Furaha alionekana akifuta machozi mara kwa mara huku mtangazaji Mtozi akimfariji.
Mahijiano yataendelea tena Ijumaa kwani jana hayakukamilika.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kama Furaha analizwa na CCM wewe ni nani hadi Uchekelee?
Hahahaaaa......... KUPE!Bwana Kiroboto
Naona unapambana kweli kweli kuwaanika wahuni.
Alikula au aliliwa, alikamatwa wakamsweka ndani na ubunge wakampiga chini.Hahahahahahaaa!! Dawa imemuingia. Atulie km walivyo tulia wakati na yy anakula kipindi kileeee
Wapo humu pia, kuna jamaa linaitwa TumainiEL, lipo kama lichawiNi kweli kabisa anayosema huyo Furaha, watu wamekalia fitna, majungu na kupakaziana kashfa za ajabu ajabu !!
Mambo ya CCM hayo. Kikundi chenye laana ya ubaguzi nchini.Furaha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka.
Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope, kufitinishana, kuchongeana na kusingiziana huku KUPE wa chama wakimnyonya damu Rais.
Furaha amesema ameshuhudia mengi sana katika utawala wa mjomba wake ( Magufuli) ikiwemo yeye mwenyewe kudhibitiwa na kikundi cha Wasiojulikana ili asigombee ubunge
Furaha alikuwa akihojiwa na Aloyce Nyanda katika kipindi cha The Big Agenda, Star tv.
Mjadala ulikuwa mkali na Furaha alionekana akifuta machozi mara kwa mara huku mtangazaji Mtozi akimfariji.
Mahijiano yataendelea tena Ijumaa kwani jana hayakukamilika.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kama Furaha analizwa na CCM wewe ni nani hadi Uchekelee?
HahahahaUkichoka kutafuta maisha achana nayo kaa kwa kutulia subiri yakutafute yenyewe
Aliwatukania wapi?Huyu nae wakati anagombea ubunge alitukana sana watu, ila Mungu si athumani.