Furaha Dominic: Rais Samia awe mwangalifu na hao waliomzunguka, wengi wao ni Wafitinishi (KUPE) walimdanganya Magufuli!

Furaha Dominic: Rais Samia awe mwangalifu na hao waliomzunguka, wengi wao ni Wafitinishi (KUPE) walimdanganya Magufuli!

Ndiyo maana halisi ya Siasa mchezo mchafu,Kila mtu anaangalia pale atakapo nufaika hata Kwa kumuumiza mwingine
NIMECHEKA " eti ambapo Paskal mayala alishika no 162..." imekaaa kiutani sana, kongole The John TheBaptist

Screenshot_20220111-154723_Chrome.jpg
 
Binadamu ni watu wa kubadilikabadilika sana
Hutakiwi kumuamini mtu ukiwa kiongozi ila unatakiwa kuamini sheria, kanuni na taratibu


Mungu ibariki Tanzania
Sheria, kanuni na taratibu zinasimamiwa na watu.
 
Wana CCM huwa hawapendani kabisa, kwa sababu kila mmoja anataka madaraka.

Angalau Wana-CCM huwa kitu kimoja pale wanapokuwa katika uchaguzi, lakini uchaguzi ukiisha makundi yanarejea. Na ukizubaa hata uliyeshinda kura ya maoni unaweza kuangushwa na Wana-CCM wenzako katika uchaguzi.

Ukimuona mtu yumo CCM ujue ananufaika kwa namna moja au nyingine.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kupe wanyonya damu za ng'ombe huku ndama walibaki hoihoi. Kataa Kupe na Kataa Wahuni
 
Furaha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka...
Akwendreee huko,asitusumbue
 
Kwenye mahojiano ya Star TV , Furaha Dominic ambaye alikuwa mgombea ubunge kawe amesema ya kwamba Mjomba wake Rais Magufuri alikuwa amezungukwa na kupe ambao walikuwa wanampa ushauri wa uongo na majungu. Na wengine walishughulika kumteka baada ya kuruhusiwa na Rais Magufuri baada ya kumshauri Rais Magufuri awaruhusu wakamtunze yeye Furaha kumbe lengo la lilikuwa baya.

Pia akadai Rais Samiah alipoingia Kuna baadhi ya kupe aliwatoa. Ila bado kuna kupe wengine anawafahamu bado wapo kwenye serikali ya Rais Samiah.

Swali langu au kupe Ni kina Nani?. Na Ni kupe gani alishuhlghulikiwa mapema Rais Samiah alipoingia madarakani?
 


Kupe, Chawa, Ndorobo, Papasi, Sisimizi, Kiroboto, Mchwa

 
unawajua yeye mkuu, Urais ni kazi kubwa sana,wanaokuzunguka unajua kabisa sio watu wazuri lakini huwezi kuwafukuza sababu unawahitaji
 
Kwa nini hakuzungumza wakati huo?
 
Omba Mungu sana usikutane na mjaluo.

Katika watu mafundi wa kupiga majungu hawa wana PHD.
 
Back
Top Bottom