Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Yote hiyo ni kujikomba kwa wakubwa zao ili waonekane watendaji wazuri.Ni kweli kabisa anayosema huyo Furaha, watu wamekalia fitna, majungu na kupakaziana kashfa za ajabu ajabu !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote hiyo ni kujikomba kwa wakubwa zao ili waonekane watendaji wazuri.Ni kweli kabisa anayosema huyo Furaha, watu wamekalia fitna, majungu na kupakaziana kashfa za ajabu ajabu !!
Mfano Mh. MboweAmesema wengine walizushiwa kesi kwa fitina tu!
NIMECHEKA " eti ambapo Paskal mayala alishika no 162..." imekaaa kiutani sana, kongole The John TheBaptistNdiyo maana halisi ya Siasa mchezo mchafu,Kila mtu anaangalia pale atakapo nufaika hata Kwa kumuumiza mwingine
Sheria, kanuni na taratibu zinasimamiwa na watu.Binadamu ni watu wa kubadilikabadilika sana
Hutakiwi kumuamini mtu ukiwa kiongozi ila unatakiwa kuamini sheria, kanuni na taratibu
Mungu ibariki Tanzania
Alifanyiwa siasa chafu!Bwashee hakukuwa na haja ya kuandika nafasi aliyoshika bwana Pasco wa jf
Hahaha, Amekuwa nabii wa uongo siku hiziTumainel alijua incharge wa viroba,, enzi zile,, yaani, Disposal Unit [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
No longerYeye ni Mkemia pale kwa Mkemia mkuu!
Hahhahaa hi nayo kali nmeipendaUkichoka kutafuta maisha achana nayo kaa kwa kutulia subiri yakutafute yenyewe
Akwendreee huko,asitusumbueFuraha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka...
kimewahi kupindua nini mkuu?Chama cha Mapinduzi.
Uwe na adabu.
Jibu hoja badala ya kukimbilia ukabila.Omba Mungu sana usikutane na mjaluo.
Katika watu mafundi wa kupiga majungu hawa wana PHD.