Furaha Dominic: waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG watolewe kafara ili iwe mfano kwa wengine

Ya kutolewa kafara, ni ccm yote, namaanish, kuanzia ngazi za juu mpka chini kabisa, wanachama na wakereketwa wote, moto upite juu yenu

Mmefukarisha nchi yetu kwa maksudi kabisa
 
Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominic, amependekeza itumike adhabu ya kunyongwa kwa wale wote waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG.

Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Miongoni mwa mambo yaliyotajwa na Dkt. Kichere mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni kuhusu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ambalo linadaiwa Tsh. bilioni 238.71 na kampuni ya IPTL, ikijumuisha deni halisi la Tsh. bilioni 111.48 na riba ya Tsh. bilioni 127.22.

Huyo Anatafutwa kuandamwa.
Angetulia tu kipindi hiki
 
Kwani CAG ametaja Majina ya watu? 😆😆

Hawa Wanasiasa wa hivi ni wazima kichwani kweli?
 
Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominic, amependekeza itumike adhabu ya kunyongwa kwa wale wote waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG.

Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Miongoni mwa mambo yaliyotajwa na Dkt. Kichere mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni kuhusu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ambalo linadaiwa Tsh. bilioni 238.71 na kampuni ya IPTL, ikijumuisha deni halisi la Tsh. bilioni 111.48 na riba ya Tsh. bilioni 127.22.

Hilo litakuwa kafara kiini macho ndugu,ila haitakuwa ajabu kwani ccm na kiiini macho ni chanda na pete.
 
Back
Top Bottom