Furaha Dominic: waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG watolewe kafara ili iwe mfano kwa wengine

Furaha Dominic: waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG watolewe kafara ili iwe mfano kwa wengine

Wametajwa kwani wenye dhamana ya kulikotajwa kwa wakati husika wapo au wamekufa.
Dhaman haibebwi na mmja Bali na taasisi na bodi yake,hakuna kesi na Wala hasara sio kosa kisheria.

Nyie ni mbumbumbu
 
Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominic, amependekeza itumike adhabu ya kunyongwa kwa wale wote waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG.

Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Miongoni mwa mambo yaliyotajwa na Dkt. Kichere mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni kuhusu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ambalo linadaiwa Tsh. bilioni 238.71 na kampuni ya IPTL, ikijumuisha deni halisi la Tsh. bilioni 111.48 na riba ya Tsh. bilioni 127.22.

Ha ha ha ha komredi Furaha Dominick aliyekuwa mgombea wa kuomba ridhaa ya ubunge CCM Kawe na mpwa wa hayati JPM.....
 
Dhaman haibebwi na mmja Bali na taasisi na bodi yake,hakuna kesi na Wala hasara sio kosa kisheria.

Nyie ni mbumbumbu
Ndio maana Wenye kutakiwa kubebeshwa dhamana wamejipa kinga ya kitoshitakiwa,ilii wafanye watakavyo wakiulozwa wanasema katiba bora hailiwi na Watanzania.
 
Hiyo adhabu kuwanyonga mafisadi iko katika katiba ya nchi?!!

Sasa anataka tuitoe wapi ?!!

Ama ndio tuwe taifa la "extra judicial killings" kinyume na haki za kibinadamu za kimataifa?!!
 
Iwapo unadamu isiyo ya chawa chawa wanaweza kukunyoosha muda wowote
Huyo chawa tu, amesema hivyo ili aonekane anakemea rushwa,kutumia hiyo iftar yake kujipigia debe , anataka ubunge wa Kawe, huoni hapo ameanza na Mama kumsifu
 
Hahaha walaji wakubwa wanajulikana , sasa nani anawatoa kafara au wajitoe kafara, kwa faida ya nani wao wajinga?
 
Back
Top Bottom