Furaha Dominic: waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG watolewe kafara ili iwe mfano kwa wengine

Furaha Dominic: waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG watolewe kafara ili iwe mfano kwa wengine

Hawa vibaka wa yule dikteta wa Chato waanza kurudi.

Huyo mpuuzi anapiga kelele kuhusu haki wakati kwenye maagizo ya kuvunjs sheria kwenye zile task force za mjomba wake alikuwa mtekelezaji na zilikuwa na uvunjifu wa sheria ila alikuwa anachekelea sababu alikuwa hajaona madharw hadi yalipomfikia upande wake.
 
Hizi ripoti kama hazichukuliwi hatua ni sawa na kuwafitinisha wananchi na serikali yao
 
Back
Top Bottom