Furaha ilioje, leo mimi ni baba wa mapacha!

Natamani sana kupata watoto especially mapacha tena wawe mchanganyiko(kike/kiume) au wa kike pekee....ila sijui napataje....Mdada aliyeko tayari tufanye jambo basi☺️☺️☺
 
Shule nzuri chief
 
wakawe baraka kila wanapokanyaga, wakawe msaada kwa wengine, wakawe kichwa, wakawe matajiri wa fedha, wakawe matajiri wa amani na furaha, wakawe furaha kwa watu woteeee... sema amen
 
Careen&catherine
Dorice&Dorothy
Nadiah....(hili nakosa pea yake)
Leah&.lelah
❤️❤️
 
Mimi Kama mama wa mapacha wa kiume...nakupongeza Sana wewe na mkeo Mungu awatunzie twins wenu🙏🙏🙏
 
Ngoja nimwambie mwanangu ajitunze kaka huenda akabahatika kuwa mkwe (mkwelima) wako

Tar : 21/05/2024 ndio amekuja.
 
Pongezi kwako, usichoke kuongeza wengine tena; mapori bado ni mengi na yanahitaji watu.
 
Kuna mmoja hapa ana miaka 38, labda anaweza kunipatia mapacha
 
Careen&catherine
Dorice&Dorothy
Nadiah....(hili nakosa pea yake)
Leah&.lelah
❤️❤️
Usiwape watoto majina common kama hayo unakosea!!

Catherine??? Leaah?? Daaah majina local sana!!

Hebu fanya research upate majina mazuri ya kike, sio lazima yawe ya kizungu!

Muite hata MILKA, au MALAIKA.

Catherine? Doraaah ? 😂😂🙈🙈🙈
 
Dokta nataman kupata mapacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…