fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Mm nataka kuoa ila Sina pesa ya kufunga ndoa na kulipia mahariHii ndio furaha yangu kubwa sana,na kusuluhisha migogoro ya wanandoa ni furaha yangu kubwa sana.Siangalii dini za wanandoa wanaooana au naowasuluhisha.Kama una mgogoro wa ndoa au unatamaninkuoa au kuolewa njoo tuongee
ndioAsee
ndio nimeoUmeoa?? Au kama kondakta tu.....
Wake wangapi? Mke mmoja hatoshi na anadumaza akili.....ndio nimeo
Fedha japo ni muhimu lakini sio lazimaMm nataka kuoa ila Sina pesa ya kufunga ndoa na kulipia mahari
InategemeaWake wangapi? Mke mmoja hatoshi na anadumaza akili.....
wewe hupo tayari kuoa,jambo muhimu ni wewe kuwa tayari kuoa,hayo mengine yanazungumzikaMe nahtaji kuoa ila sna mahali unanisaidiaje mkuu?
Una wake wangapi shemegi, kama ni mmoja usitushauri hatutaki.....Inategemea
Ndoa sio matatizo bali ni furaha yenye changamotoUnafurahia watu kupeleka matatizo nyumbani
Mimi nina mmoja na masuria 3Una wake wangapi shemegi, kama ni mmoja usitushauri hatutaki.....
ndioWe umeoa kwanza?
Kwanza wewe ni muongo kwakuwa una ndoa,na upo hapo kujoki tuKuoana ni kupungukiwa na akili... Kuoana ni uwendazimu... Imarika kiakili kiafya na kiuchumi achana na ndoa
Hatutaki ushauri wako 😹Mimi nina mmoja na masuria 3