Furaha yangu kubwa ni kuona watu wanaoana

Hii ndio furaha yangu kubwa sana,na kusuluhisha migogoro ya wanandoa ni furaha yangu kubwa sana.Siangalii dini za wanandoa wanaooana au naowasuluhisha.Kama una mgogoro wa ndoa au unatamaninkuoa au kuolewa njoo tuongee
Mimi nitafutie binti mzuri mwenye muonekano mzuri na mwenye elimu bora awe employee wa government.

Umri wake uwe kati ya miaka 25 hadi 33 lakini asiwe na mtoto, sitaki shida za singo maza mimi maana naujua moyo wangu, sitoweza kulea mtoto wa mwanaume mwenzangu na kisha mimegewe kisela.

Nipo serious Mkuu.

Kama yupo please consider my request
 
ok
 
Back
Top Bottom