Furahia upishi wako na gesi janja (M-GAS) yenye mita janja wala huhitaji kununua mtungi wa gesi tena

Muda huu mmenipa gharama ya kwenda kulipia mtungi mwingine,mnatusumbua sana
 
Ila mtakapokuja kuchukua mtungi wenu hakikisheni mnarudisha 40,000pamoja3000 yangu niliolioia token,tofauti na hapo sitowapa chochote,haiwezekani wash*nz nyie mnitie hasara ndani ya siku mbili
 
Ila mtakapokuja kuchukua mtungi wenu hakikisheni mnarudisha 40,000pamoja3000 yangu niliolioia token,tofauti na hapo sitowapa chochote,haiwezekani wash*nz nyie mnitie hasara ndani ya siku mbili
Kwa ushauri, mtafute wakala aliye kusajili.
 
Kwa ushauri, mtafute wakala aliye kusajili.
Yeye kasema hausiki na masuala ya Gas,hivyo nishaachana na utapeli wenu cha msingi akikanyaga kwangu aje na fedha zangu abebe uchafu wake+255764375937 na0710103311.

Wapigie waambie ile mitungi mliopeleka kule kilakal Yombo waje na fedha zetu wabebe uchafu wao
 
Nilichogundua mnakusanya fedha kwa watu kwa udanganyifu,harafu baada ya muda kadhaa unajifanya kuja kuchukua mitungi yenu,huku mkiwa mshachukua fedha za watu.

Niwaambie tu ili mchukue vifaa vyenu mpaka fedha zangu zote zirudi tofauti na hapo hakitoki kitu.
 
Kwa ushauri wangu badala ya kulalamika ni bora ungeenda ofisi za M-Gas na huyo wakala aliyekuuzia. M-Gas wanafanya kazi kwa kutumia mawakala. Mawala wanaweka mitaji yao wanawauzia gas wateja wao. Kila wakala ana wateja wake na anakua na mtaa wake. Huyo wakala ni wakala wa eneo lako wewe. Mitaa ipo mingi. Wakala aliyekusajili ndio huyo unatakiwa kumfwatilia au uende ukamwuulize ofisi za M-Gas. Ukianza kuuliza kila wakala hapo utakosa majibu ya tatizo lako.
 
Niache kazi zangu nikahangaike na wakala wa m gas????Acha utani basi.Yaan ile gas ina nini cha special kinifanye nihahe kumtafuta wakala huyo.

Nilichofanya nimekwenda kununua mtungi mkubwa natumia,siwez kuhangaika wakat gas imejaa tena unapiga simu unaletewa buree kabisa.

Huduma zenu za hovyo,full stop,aje alete pesa zangu abebe vifaa vyake,havitoki mpaka pesa arudishe yote.

NB:SIO KILA MTU MJINGA
 
huduma ya kihayawani. najuta kuitumia
 
Post za mwanzo kabisa niliwahi kuwatahadharisha kuhusu hawa kopa ha sijui M gas. Jamaa ni wa hivyo sanaaaa
 
Brother hao ni matapeli wanachukua gesi halafu wanakuuzia kwa bei ya juu wapate chochote kitu mfano gesi nzima kg 6 ni 23,000 kwao utalipia 50k. Ndondondo ni gharama hakuna nafuu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…