Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakala ni mtu ambaye ulijisajili kwake. Huyo ndio mtafute.Ninapokaa hakuna wakala,mbona namba zenu hazipatikani????huku yombo hakuna wakala,harafu yule alieleta mtungi mbona akipigiwa simu anasema yeye hausiki???
Kwa ushauri, mtafute wakala aliye kusajili.Ila mtakapokuja kuchukua mtungi wenu hakikisheni mnarudisha 40,000pamoja3000 yangu niliolioia token,tofauti na hapo sitowapa chochote,haiwezekani wash*nz nyie mnitie hasara ndani ya siku mbili
Yeye kasema hausiki na masuala ya Gas,hivyo nishaachana na utapeli wenu cha msingi akikanyaga kwangu aje na fedha zangu abebe uchafu wake+255764375937 na0710103311.Kwa ushauri, mtafute wakala aliye kusajili.
Kwa ushauri wangu badala ya kulalamika ni bora ungeenda ofisi za M-Gas na huyo wakala aliyekuuzia. M-Gas wanafanya kazi kwa kutumia mawakala. Mawala wanaweka mitaji yao wanawauzia gas wateja wao. Kila wakala ana wateja wake na anakua na mtaa wake. Huyo wakala ni wakala wa eneo lako wewe. Mitaa ipo mingi. Wakala aliyekusajili ndio huyo unatakiwa kumfwatilia au uende ukamwuulize ofisi za M-Gas. Ukianza kuuliza kila wakala hapo utakosa majibu ya tatizo lako.Yeye kasema hausiki na masuala ya Gas,hivyo nishaachana na utapeli wenu cha msingi akikanyaga kwangu aje na fedha zangu abebe uchafu wake+255764375937 na0710103311.
Wapigie waambie ile mitungi mliopeleka kule kilakal Yombo waje na fedha zetu wabebe uchafu wao
Niache kazi zangu nikahangaike na wakala wa m gas????Acha utani basi.Yaan ile gas ina nini cha special kinifanye nihahe kumtafuta wakala huyo.Kwa ushauri wangu badala ya kulalamika ni bora ungeenda ofisi za M-Gas na huyo wakala aliyekuuzia. M-Gas wanafanya kazi kwa kutumia mawakala. Mawala wanaweka mitaji yao wanawauzia gas wateja wao. Kila wakala ana wateja wake na anakua na mtaa wake. Huyo wakala ni wakala wa eneo lako wewe. Mitaa ipo mingi. Wakala aliyekusajili ndio huyo unatakiwa kumfwatilia au uende ukamwuulize ofisi za M-Gas. Ukianza kuuliza kila wakala hapo utakosa majibu ya tatizo lako.
huduma ya kihayawani. najuta kuitumia... mwanzoni nilidhani gesi ikiisha unalipia na kupata huduma kama ilivyo LUKU; kumbe hadi usubiri uletewe! Hilo ni tatizo na customer service za kibongo zilivyo za kindezi unapigia jitu ambalo ni wajibu wake litoe huduma halipokea simu au haipatikani kabisa.
Kwa bongo hii huduma za aina hii bado sana. Kwanini nikiishiwa gesi nisivuke tu mtaa wa pili nikabadili mtungi au nikamtuma boda chap! This is more reliable kuliko huo uzungu tunaojaribu kuuiga wakati tabia na desturi zetu bado sana.
Post za mwanzo kabisa niliwahi kuwatahadharisha kuhusu hawa kopa ha sijui M gas. Jamaa ni wa hivyo sanaaaaNiache kazi zangu nikahangaike na wakala wa m gas????Acha utani basi.Yaan ile gas ina nini cha special kinifanye nihahe kumtafuta wakala huyo.
Nilichofanya nimekwenda kununua mtungi mkubwa natumia,siwez kuhangaika wakat gas imejaa tena unapiga simu unaletewa buree kabisa.
Huduma zenu za hovyo,full stop,aje alete pesa zangu abebe vifaa vyake,havitoki mpaka pesa arudishe yote.
NB:SIO KILA MTU MJINGA
Brother hao ni matapeli wanachukua gesi halafu wanakuuzia kwa bei ya juu wapate chochote kitu mfano gesi nzima kg 6 ni 23,000 kwao utalipia 50k. Ndondondo ni gharama hakuna nafuu hapoNiache kazi zangu nikahangaike na wakala wa m gas????Acha utani basi.Yaan ile gas ina nini cha special kinifanye nihahe kumtafuta wakala huyo.
Nilichofanya nimekwenda kununua mtungi mkubwa natumia,siwez kuhangaika wakat gas imejaa tena unapiga simu unaletewa buree kabisa.
Huduma zenu za hovyo,full stop,aje alete pesa zangu abebe vifaa vyake,havitoki mpaka pesa arudishe yote.
NB:SIO KILA MTU MJINGA