FURSA: Canada imetoa Visa maalum kwa wachomelea vyuma, Mafundi bomba na Maselemala

tatizo soon vijana wa kitanzania, tatizo ni mazingira yetu mtu kupata passport vikwazo kibao wakati passport ni haki ya kila mtu ambaye ni raia wa Tanzania.
Hii sio kweli, kwenye pasi za kusafiria hamna kabisa tatizo, shida ipo kwenye hizo lugha kwani vijana wengi wa kitanzania wanaofanya hizo shughuli hawazimudu hizo lugha za kiingereza au kifaransa.
 
Sasa hapa lugha itakuwa kikwazo kikubwa maanake kuna watu wamekuwa wakitaka eti kiswahili ndicho kitumike kama lugha ya kufundishia kwa ngazi zote za elimu.

Nafikiri na wenyewe watakuwa wamelisikia hili tangazo. Wao wanakipigia kiswahili debe ili wafanye tafsiri ya vitabu toka kiingereza kwenda kiswahili ili wapige hela ndefu, ni swala la maslahi tu na wala hamna kitu kingine.

Ni ukweli ulio wazi kwamba vijana wengi wanaofanya hizo shughuli hawazimudu hizo lugha hivyo kwa mantiki hiyo hawana sifa ya kwenda Canada hivyo watabaki hapa hapa waendelee kukimbizana na mwenge.
...and Canada kwenye lugha wapo very strictly. Itabidi watu wajiongeze wawe wanapiga hizi TOEIC au IELTS kila baada ya miaka miwili.
Kenya huwa mtu anamaliza undergraduate halafu anasogea pale British Council kwenda kujinoa kwenye Professional/Busines English, huko akishajinoa anakua amejijengea uwezo na confidence ya ku jinadi.
Au akitaka kifaransa anaenda pale Alliance Française, akitaka kiarabu anaenda International Jaamia of Languages and Professional Studies na akitaka kichina anatimba maguu pale Discovery Chinese Cultural Center.
Mtu akitoka hapo ni mwendo wa kufukuzana na fursa tu.
 
Badala ya kukimbizana na mwenge , yafaa sasa waanze kukimbizana na kazi huko duniani- wajifunze lugha za watu ili watoboe. Kung'ang'ania kiswahili, watabaki humu humu East Africa na mishahara kiduchu, malalamiko chungu nzima, kuoneana wivu na Ntima nyongo na kuendelea kusema hakuna kazi ili hali hawataki kutimiza vigezo vya wanaogawa kazi huko ulimwenguni... Vijana- jifunzeni French, English, Spanish na hata Lugha ya biashara - Mandalini- mtatoboa tu. kazi ni kazi duniani huko lakini bila lugha, mtarimbo utakwama tu.
 
Vijana wanao waza UDC, UDAS na teuzi nyinginezo watakwambia Kiswahili chatosha. Halafu hata Kiswahili chenyewe wanachokiongea hakina ufasaha na kimejaa maneno ya rejesta tu.
 
End of the day ujuaji, umepoteza dhamira ya thread.
Wanaopinga huwa wanajua uwepo wa hizi fursa, ila hawapendi wengine wazijue ndiyo maana wanajitahidi kufanya majaribio ya kuvuruga.
Mtu kaambiwa Visa for skilled workers xinatolewa na this time wanatoa Visa maalum kwa plumbers, carpentry na welders, yeye anakwambia hakuna walipotangaza nafasi za kazi.
 
Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo.
Kila la heri.
Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi wako? Wamebana huku wanafungua kwingine. Wameshaona wanaoenda kwa style ya visitor wengi wanaelemea kazi za aina fulani na sasa wameamua kufungua milango specific kwa makundi ya watu wenye fani wanazozitaka.
Hawa mambo yao mengi huwa well calculated.

Mkuu una group la wasap uniunge
 
Mkuu una group la wasap uniunge
Hapana mkuu, sina. Tuendelee tu kuulizana na kuelimishana kupitia hapa. Itakua na faida zaidi maana kuna watu ni wajuzi wa hizo mambo hapa jukwaani. Mimi nashea tu ila kuna wajuvi wa hizi vitu wapo hapo na ni wa msaada sana
 
Hii sio kweli, kwenye pasi za kusafiria hamna kabisa tatizo, shida ipo kwenye hizo lugha kwani vijana wengi wa kitanzania wanaofanya hizo shughuli hawazimudu hizo lugha za kiingereza au kifaransa.
unaishi nchi gani mpaka useme sio kweli Kuna urasimu mkubwa vijana kupewa pasi .
 
...and Canada kwenye lugha wapo very strictly. Itabidi watu wajiongeze wawe wanapiga hizi TOEIC au IELTS kila baada ya miaka miwili.
Kenya huwa mtu anamaliza undergraduate halafu anasogea pale British Council kwenda kujinoa kwenye Professional/Busines English, huko akishajinoa anakua amejijengea uwezo na confidence ya ku jinadi.
Au akitaka kifaransa anaenda pale Alliance Française, akitaka kiarabu anaenda International Jaamia of Languages and Professional Studies na akitaka kichina anatimba maguu pale Discovery Chinese Cultural Center.
Mtu akitoka hapo ni mwendo wa kufukuzana na fursa tu.
Nchi hii inakabiliwa na mambo mengi sana, kimojawapo ni umaskini, Fees za kulipa British Council kila baada ya miaka miwili kwa huku kwetu ni uongo, especially mtu ameshamaliza college /Uni na anajitafuta no msaada wa wazazi.

Kuna muda nawaangalia vijana wadogo walio katika umri wa kujitafuta nasema hiiiii!
 
...and Canada kwenye lugha wapo very strictly. Itabidi watu wajiongeze wawe wanapiga hizi TOEIC au IELTS kila baada ya miaka miwili.
Kenya huwa mtu anamaliza undergraduate halafu anasogea pale British Council kwenda kujinoa kwenye Professional/Busines English, huko akishajinoa anakua amejijengea uwezo na confidence ya ku jinadi.
Au akitaka kifaransa anaenda pale Alliance Française, akitaka kiarabu anaenda International Jaamia of Languages and Professional Studies na akitaka kichina anatimba maguu pale Discovery Chinese Cultural Center.
Mtu akitoka hapo ni mwendo wa kufukuzana na fursa tu.
Watanzania hatupendi jiongeza, mtu akishapata cheti chake cha chuo basi imetoka hivyo
 
Back
Top Bottom