Hii sio kweli, kwenye pasi za kusafiria hamna kabisa tatizo, shida ipo kwenye hizo lugha kwani vijana wengi wa kitanzania wanaofanya hizo shughuli hawazimudu hizo lugha za kiingereza au kifaransa.tatizo soon vijana wa kitanzania, tatizo ni mazingira yetu mtu kupata passport vikwazo kibao wakati passport ni haki ya kila mtu ambaye ni raia wa Tanzania.
...and Canada kwenye lugha wapo very strictly. Itabidi watu wajiongeze wawe wanapiga hizi TOEIC au IELTS kila baada ya miaka miwili.Sasa hapa lugha itakuwa kikwazo kikubwa maanake kuna watu wamekuwa wakitaka eti kiswahili ndicho kitumike kama lugha ya kufundishia kwa ngazi zote za elimu.
Nafikiri na wenyewe watakuwa wamelisikia hili tangazo. Wao wanakipigia kiswahili debe ili wafanye tafsiri ya vitabu toka kiingereza kwenda kiswahili ili wapige hela ndefu, ni swala la maslahi tu na wala hamna kitu kingine.
Ni ukweli ulio wazi kwamba vijana wengi wanaofanya hizo shughuli hawazimudu hizo lugha hivyo kwa mantiki hiyo hawana sifa ya kwenda Canada hivyo watabaki hapa hapa waendelee kukimbizana na mwenge.
Badala ya kukimbizana na mwenge , yafaa sasa waanze kukimbizana na kazi huko duniani- wajifunze lugha za watu ili watoboe. Kung'ang'ania kiswahili, watabaki humu humu East Africa na mishahara kiduchu, malalamiko chungu nzima, kuoneana wivu na Ntima nyongo na kuendelea kusema hakuna kazi ili hali hawataki kutimiza vigezo vya wanaogawa kazi huko ulimwenguni... Vijana- jifunzeni French, English, Spanish na hata Lugha ya biashara - Mandalini- mtatoboa tu. kazi ni kazi duniani huko lakini bila lugha, mtarimbo utakwama tu.Sasa hapa lugha itakuwa kikwazo kikubwa maanake kuna watu wamekuwa wakitaka eti kiswahili ndicho kitumike kama lugha ya kufundishia kwa ngazi zote za elimu.
Nafikiri na wenyewe watakuwa wamelisikia hili tangazo. Wao wanakipigia kiswahili debe ili wafanye tafsiri ya vitabu toka kiingereza kwenda kiswahili ili wapige hela ndefu, ni swala la maslahi tu na wala hamna kitu kingine.
Ni ukweli ulio wazi kwamba vijana wengi wanaofanya hizo shughuli hawazimudu hizo lugha hivyo kwa mantiki hiyo hawana sifa ya kwenda Canada hivyo watabaki hapa hapa waendelee kukimbizana na mwenge.
Vijana wanao waza UDC, UDAS na teuzi nyinginezo watakwambia Kiswahili chatosha. Halafu hata Kiswahili chenyewe wanachokiongea hakina ufasaha na kimejaa maneno ya rejesta tu.Badala ya kukimbizana na mwenge , yafaa sasa waanze kukimbizana na kazi huko duniani- wajifunze lugha za watu ili watoboe. Kung'ang'ania kiswahili, watabaki humu humu East Africa na mishahara kiduchu, malalamiko chungu nzima, kuoneana wivu na Ntima nyongo na kuendelea kusema hakuna kazi ili hali hawataki kutimiza vigezo vya wanaogawa kazi huko ulimwenguni... Vijana- jifunzeni French, English, Spanish na hata Lugha ya biashara - Mandalini- mtatoboa tu. kazi ni kazi duniani huko lakini bila lugha, mtarimbo utakwama tu.
Wanaopinga huwa wanajua uwepo wa hizi fursa, ila hawapendi wengine wazijue ndiyo maana wanajitahidi kufanya majaribio ya kuvuruga.End of the day ujuaji, umepoteza dhamira ya thread.
Mkuu una group la wasap uniungeSerikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo.
Kila la heri.
Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi wako? Wamebana huku wanafungua kwingine. Wameshaona wanaoenda kwa style ya visitor wengi wanaelemea kazi za aina fulani na sasa wameamua kufungua milango specific kwa makundi ya watu wenye fani wanazozitaka.
Hawa mambo yao mengi huwa well calculated.
Canada announces the first-ever Express Entry invitations for newcomers with experience in the trades
Canada’s Express Entry system is now tailored to provide a streamlined and efficient pathway for individuals with expertise in critical fields. By prioritizing the invitation of skilled newcomers with experience in the trades, Canada aims to meet the increasing demand for talent and fill key...www.canada.ca
Hapana mkuu, sina. Tuendelee tu kuulizana na kuelimishana kupitia hapa. Itakua na faida zaidi maana kuna watu ni wajuzi wa hizo mambo hapa jukwaani. Mimi nashea tu ila kuna wajuvi wa hizi vitu wapo hapo na ni wa msaada sanaMkuu una group la wasap uniunge
Ujuaji hata basi ...ni Ile roho ya kisorokwinyoEnd of the day ujuaji, umepoteza dhamira ya thread.
unaishi nchi gani mpaka useme sio kweli Kuna urasimu mkubwa vijana kupewa pasi .Hii sio kweli, kwenye pasi za kusafiria hamna kabisa tatizo, shida ipo kwenye hizo lugha kwani vijana wengi wa kitanzania wanaofanya hizo shughuli hawazimudu hizo lugha za kiingereza au kifaransa.
Nchi hii inakabiliwa na mambo mengi sana, kimojawapo ni umaskini, Fees za kulipa British Council kila baada ya miaka miwili kwa huku kwetu ni uongo, especially mtu ameshamaliza college /Uni na anajitafuta no msaada wa wazazi....and Canada kwenye lugha wapo very strictly. Itabidi watu wajiongeze wawe wanapiga hizi TOEIC au IELTS kila baada ya miaka miwili.
Kenya huwa mtu anamaliza undergraduate halafu anasogea pale British Council kwenda kujinoa kwenye Professional/Busines English, huko akishajinoa anakua amejijengea uwezo na confidence ya ku jinadi.
Au akitaka kifaransa anaenda pale Alliance Française, akitaka kiarabu anaenda International Jaamia of Languages and Professional Studies na akitaka kichina anatimba maguu pale Discovery Chinese Cultural Center.
Mtu akitoka hapo ni mwendo wa kufukuzana na fursa tu.
Kwa fursa kama hii ukiomba pasi hakuna anayekunyima ila labda kama lugha haipandi ndio itafanya unyimwe kwa sababu hata visa tu huwezi kupewa.unaishi nchi gani mpaka useme sio kweli Kuna urasimu mkubwa vijana kupewa pasi .
Afu kuna wengine wanasema bora usomeshe KayumbaLugha ni mtaji, sasa kama watu watawasikiliza wanaharakati shauri yao.
Watanzania hatupendi jiongeza, mtu akishapata cheti chake cha chuo basi imetoka hivyo...and Canada kwenye lugha wapo very strictly. Itabidi watu wajiongeze wawe wanapiga hizi TOEIC au IELTS kila baada ya miaka miwili.
Kenya huwa mtu anamaliza undergraduate halafu anasogea pale British Council kwenda kujinoa kwenye Professional/Busines English, huko akishajinoa anakua amejijengea uwezo na confidence ya ku jinadi.
Au akitaka kifaransa anaenda pale Alliance Française, akitaka kiarabu anaenda International Jaamia of Languages and Professional Studies na akitaka kichina anatimba maguu pale Discovery Chinese Cultural Center.
Mtu akitoka hapo ni mwendo wa kufukuzana na fursa tu.
sizungumzii fursa ya Canada ila taratibu za kupata passport kiujumla Kuna vikwazo vingi.Kwa fursa kama hii ukiomba pasi hakuna anayekunyima ila labda kama lugha haipandi ndio itafanya unyimwe kwa sababu hata visa tu huwezi kupewa.