FURSA: Canada imetoa Visa maalum kwa wachomelea vyuma, Mafundi bomba na Maselemala

Soma vizuri haya matangazo yao..focus yao ni Europe USA sababu ujunzi unalingana na Kikubwa ni lugha..
 
Soma vizuri haya matangazo yao..focus yao ni Europe USA sababu ujunzi unalingana na Kikubwa ni lugha..
Mkuu, mahali fulani hapa kati baada ya European countries kuimarisha sera zao za hasa usalama, afya na ajira Canada ilipata gab kwa kuondokewa na wataalam wengi wenye asili za nchi za Ulaya. Wazungu wengi walirudi nchi zao za asili. Ikabidi Canada kuanza kuajiri wataalam kutoka nje, fursa ambazo zilichangamkiwa sana na wahindi, wachina, na waafrika walihamia kwa wingi.
Ilivutia wanafunzi kwenda kusoma na walipomaliza iliweka program/mazingira ya kuwabakiza ili waitumie elimu ile palepale Canada.
Nafasi nyingi za kazi zinazohitaji watu kutoka nje ya Canada waombaji wengi hutoka China, Afrika na nchi nyingine za Asia na sasa hivi Ukranians. Sasa hivi idadi ya Waafrika ma wachina waliopo Canada inashabihiana.
Huwa hizi kazi zina levels na hata wakifika kule huwa kunakuwa na utaratibu lazima wapitishwe ili kukidhi standards zao ndipo waanze rasmi kuzifanya.
 
Umeandika kiasi kwamba ni rahisi sana kupata kazi huko?
Dunia ni kijijini na unaweza kufanya kazi na mtu yoyote aliyeoko duniani bila kwenda huko kwao ila kwa kuwa Tanzania ni kuzimu hizo fursa utabaki unaziangalia kwa macho tu.
Najua bado haujanielewa, Tanzania haina mifumo ya kupokea pesa kutoka nje ya nchi kwa kiasi cha 1 USD
Mtu aliyeoko Ghana akikitumia hela 1 USD. Utaweza kujibeba
Punguza kushinda JF, Facebook na Instagram.
 
Ulimaanisha nn mtu awezi kupokea hela kutoka nje ya nchi mbona Kuna remit na nyinginezo kwa ajili ya hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…