Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Teh😀😀 Na ukitaka kufaulu zaidi unaanzia upinzani unasumbua, unatengeneza jina halafu ndipo wanakuja kukubembeleza uhamie kwao, na kukuahidi vitu kibao!
Mrejesho mkuu.mkuu nimeogopa gafla,maana mwenyewe nimenunua seheemu vifarnga 35 bado sijavichua nasubiri vifikishe walaumwezi mmoja.ni wale kuku chotala
mkuu kwa mfano,ukitaka kusafirisha hata kwa basi tu, vipi unaweza kuruhusiwa?Jamani kuna kuku nimeona hapa south Africa ni wakubwa sio kawaida. Paja kama la mtoto mchanga !!! Sijui kwa nini hii mbegu haijaletwa bongo?
Hauruhusiwi chief,labda mpaka upate vibali maalum.mkuu kwa mfano,ukitaka kusafirisha hata kwa basi tu, vipi unaweza kuruhusiwa?
Naomba elezea kidogo kuhusu hili, mafunzo, mambo ya kuzingatia nkBiashara ya kuuza Mkorogo inalipa.
Kuwa na page ya Facebook yenye kurun ads, tengeneza mkorogo weka label na pack fresh anza matangazo hutojutia.Naomba elezea kidogo kuhusu hili, mafunzo, mambo ya kuzingatia nk
Jinsi ya kutengeneza sasaKuwa na page ya Facebook yenye kurun ads, tengeneza mkorogo weka label na pack fresh anza matangazo hutojutia.
Ni pmJinsi ya kutengeneza sasa
OkNi pm
Pm imegomaNi pm
Uko sawa kabisa mkuuKazi ya genge , jamaa aliacha kazi ya serikali (ualimu) na kuanzisha genge japo rafiki zake walicheka sana kuhusu uamuzi wake wa KIJINGA .Sasa jamaa ana duka kubwa na analipa kodi, na ameajiri mtu mmoja hivyo ameisaidia serikali katika ajira. Waliomcheka wanaomba mkopo kwake. Jamani usidharau kazi ila angalia mwisho wa siku unaingiza ngapi.
SanaaaaaaaBiashara ya kuuza Mkorogo inalipa.
Mkuu hata Mimi nataka nijue jins ya kutengenezaNi pm
Unaweza kunifundisha jinsi ya kutengeneza aiseeeUnatengeneza mwenyewe, unatafuta vifungashio , ukiweza una label Kabisa , unaweza kusupply mwenyewe au unatafuta Kijana wa kusupply oda Kinachofuata Matangazo ya kufa mtu insta Na facebook hufi njaa mjini shoo. Kopo Bei 20000 mpk 35000.