Fursa kwa Vijana Wenye Ujuzi wa Sales & Marketing – Tengeneza Kipato cha Ziada

Fursa kwa Vijana Wenye Ujuzi wa Sales & Marketing – Tengeneza Kipato cha Ziada

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
597
Reaction score
792
Je, una uwezo wa kutafuta wateja na kuuza huduma?

Peculiar Enterprises Ltd. inakupa nafasi ya kutengeneza kipato cha ziada kwa kutuletea wamiliki wa Microfinance watakaoanza kutumia Peloo, mfumo wa kisasa wa usimamizi wa Microfinance.

Commission Utakayopata
  • TZS 50,000 kwa kila mteja atakayelipia subscription ya miezi 6 (TZS 500,000).
  • TZS 120,000 kwa kila mteja atakayelipia subscription ya mwaka mmoja (TZS 800,000)
Gharama hizo ni kwa kila branch.
Hakuna kikomo cha idadi ya wateja unaoweza kuleta. Kadri unavyoleta wateja wengi, ndivyo unavyoongeza kipato chako.

Peloo ni mfumo unaosaidia taasisi za Microfinance kusimamia mikopo, marejesho, wateja, dhamana, taarifa za kifedha na shughuli nyingine za kila siku kwa ufanisi.

Ikiwa una uzoefu au ujuzi wa Sales & Marketing, au una mtandao wa wamiliki wa Microfinance, hii ni fursa nzuri ya kujenga kipato cha ziada.

Malipo ya commission hufanyika mara baada ya mteja kukamilisha malipo ya usajili wa mfumo.

Kama unavutiwa na fursa hii, wasiliana na Peculiar Enterprises Ltd. au fika ofisini kwetu Kinondoni, Dar es Salaam.
📞 Simu/WhatsApp: 0759 891 571
📧 Email: [email protected]
 
Back
Top Bottom