Kariakooking1978
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 549
- 1,078
- Thread starter
- #21
Hizi bado mkuu,I mean something like alibaba.com ambapo itakuwa specific eneo moja ambalo ni kariakoo.Kama ni muuzaji kutoka sehemu nyingine tofauti na kariakoo hutaweza kujisajili.Mbona zipo kaka,
Nida Danish
www.nidadanish.com
www.shoponline.co.tz
Kupatana.com
Jiji.co.tz
Na zingine zingi
To be specific,
Muuzaji atajisajili then atatuma zile document za TRA kuthibitisha yupo location ya kariakoo,atatakiwa kusema ni muuzaji wa reja reja au jumla,atatakiwa kusema duka lake lipo mtaa gani na atatakiwa kulipiga picha.Pia platform itakuwa na escrow ili wauzaji na wanunuaji walindane.Mwisho kutakuwa na algorithim ya kushindanisha bei ili wale wapigaji wasionekane.