Kuna Taarifa kwamba hao jamaa ni wabaguzi sana haswa kwa weusi, hiyo hali uliiona? Unaizungumziaje..
Hebu weka wazi ili anayeifuata hii fursa ya mbuzi ajiandae kisaikolojia.
acha kukariri story za vijiweni mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Taarifa kwamba hao jamaa ni wabaguzi sana haswa kwa weusi, hiyo hali uliiona? Unaizungumziaje..
Hebu weka wazi ili anayeifuata hii fursa ya mbuzi ajiandae kisaikolojia.
Niliyemuuliza hilo swali alinielewa na alinijibu.acha kukariri story za vijiweni mkuu
Wanapenda nyama ya mbuzi au mbuzi wa aina ganiKwa umri wangu huu mdogo nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya nchi hapa Afrika,ktk fursa hii nimebahatika kwenda nchi ya Morocco.
Nilienda Morocco kupitia Mali kwa Tombouctou Airport ya Mali to Duarzazate airport ya morocco.
Nikiwa Morocco nimetembelea majiji tofauti tofauti km unavyojua tunaojitafuta kila tulipo tunaangalia furasa, kati ya majiji niliotembea ni pamoja na Nador, Tetouan na Tangier(mji wa kibiashara sana,maana hapa watu utoka ulaya kuja kufanya biashara hapa).
Kuna fursa nimeliona Morocco, kwa mtu mwenye connection na mtaji unaweza ukaifanya. Morocco biashara ya Mbuzi inalipa sana, kule wanapenda sana nyama choma hasa ya mbuzi, wazungu wanatoka Spain kuja kununua mbuzi Morocco. Mbuzi mwenye ubora mzuri anauzwa hadi laki tano(500,000/=)kwa ela ya kitanzania na wakati mwingine mbuzi zinakuwa hadimu bei upanda.
Kule Waarabu wana hela, hawalili bei kiasi hicho. Kama anahitaji atachukua. Lkn mbuzi wengi sana wanaenda ulaya, nimeona niwasanue kwa hili.
Hahahaha aise dah..Haiingi akilini,
Kwa barabara utakufa njiani
Kwa meli hakuna
Na kwa ndege hiyo gharama yake haina faida
View attachment 3083568
Yaaani wewe wakitajwa waarabu tu lazima upanick kiukweli siioni tofauti kati yako na wale wanaoiita nchi fulani taifa teuleubaguzi upo hata kwa wenyewe kwa wenyewe kama kwetu
Aiseee maana mm na supply mahotel uku Arusha kwaiyo una link mkuu unatupa mchongo mizur lakn namna ya kuwafkia wao wateja sasaKwa umri wangu huu mdogo nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya nchi hapa Afrika,ktk fursa hii nimebahatika kwenda nchi ya Morocco.
Nilienda Morocco kupitia Mali kwa Tombouctou Airport ya Mali to Duarzazate airport ya morocco.
Nikiwa Morocco nimetembelea majiji tofauti tofauti km unavyojua tunaojitafuta kila tulipo tunaangalia furasa, kati ya majiji niliotembea ni pamoja na Nador, Tetouan na Tangier(mji wa kibiashara sana,maana hapa watu utoka ulaya kuja kufanya biashara hapa).
Kuna fursa nimeliona Morocco, kwa mtu mwenye connection na mtaji unaweza ukaifanya. Morocco biashara ya Mbuzi inalipa sana, kule wanapenda sana nyama choma hasa ya mbuzi, wazungu wanatoka Spain kuja kununua mbuzi Morocco. Mbuzi mwenye ubora mzuri anauzwa hadi laki tano(500,000/=)kwa ela ya kitanzania na wakati mwingine mbuzi zinakuwa hadimu bei upanda.
Kule Waarabu wana hela, hawalili bei kiasi hicho. Kama anahitaji atachukua. Lkn mbuzi wengi sana wanaenda ulaya, nimeona niwasanue kwa hili.
Yaaani wewe wakitajwa waarabu tu lazima upanick kiukweli siioni tofauti kati yako na wale wanaoiita nchi fulani taifa teule
Chuki dhidi ya waislamu samia angekuwa raisi? Mimi kipaumbele changu hakijawahi kuwa wazungu wote hao ni wabaguzi japo nimewahi kulelewa na familia ya kifaransa nipo mdogo...halafu hakuna watu wabaguzi kama waislamu naongea hivyo kwasababu mimi kwetu ni mikindaniHata wewe wakitajwa wazungu unapanick , hapo kuna kupanick au ukweli?? Nyinyi waafrika hamna chuki na waafrika wenzenu ?? Kamuulize Mbowe na Lissu yaliyowafika.Haya mnayotufanyia Wazanzibar nchi mliyoivamia na kuuwa maelfu na mnaendelea kuuwa mpaka leo ni kwa ajili gani kama si chuki dhidi ya waislamu ??
Kila mtu anajuwa Samia amekuwa Raisi kwa bahati mbaya na tizama mnavyompiga vita , yaani kila akijaribu kuiweka nchi kwenye mstari maaskofu wanakuja na MatamkoChuki dhidi ya waislamu samia angekuwa raisi? Mimi kipaumbele changu hakijawahi kuwa wazungu wote hao ni wabaguzi japo nimewahi kulelewa na familia ya kifaransa nipo mdogo...halafu hakuna watu wabaguzi kama waislamu naongea hivyo kwasababu mimi kwetu ni mikindani
Hapa Tanzania mbuzi huuzwa laki 5 hiyo kwa Wale wazuri gala goatKwa umri wangu huu mdogo nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya nchi hapa Afrika,ktk fursa hii nimebahatika kwenda nchi ya Morocco.
Nilienda Morocco kupitia Mali kwa Tombouctou Airport ya Mali to Duarzazate airport ya morocco.
Nikiwa Morocco nimetembelea majiji tofauti tofauti km unavyojua tunaojitafuta kila tulipo tunaangalia furasa, kati ya majiji niliotembea ni pamoja na Nador, Tetouan na Tangier(mji wa kibiashara sana,maana hapa watu utoka ulaya kuja kufanya biashara hapa).
Kuna fursa nimeliona Morocco, kwa mtu mwenye connection na mtaji unaweza ukaifanya. Morocco biashara ya Mbuzi inalipa sana, kule wanapenda sana nyama choma hasa ya mbuzi, wazungu wanatoka Spain kuja kununua mbuzi Morocco. Mbuzi mwenye ubora mzuri anauzwa hadi laki tano(500,000/=)kwa ela ya kitanzania na wakati mwingine mbuzi zinakuwa hadimu bei upanda.
Kule Waarabu wana hela, hawalili bei kiasi hicho. Kama anahitaji atachukua. Lkn mbuzi wengi sana wanaenda ulaya, nimeona niwasanue kwa hili.
Ukifanya biashara kwa reasoning hii hautoboi biashara inahitaji watu wanaofikiria wakiwa ndani ya biashara sio kabla ya biasharaHaiingi akilini,
Kwa barabara utakufa njiani
Kwa meli hakuna
Na kwa ndege hiyo gharama yake haina faida
View attachment 3083568
Nitajie watu watatu waliouawa na magufulina hakuna Raisi ambaye aliuwa na kupiga risasi watu kama Magufuli
Nitajie watu watatu waliouawa na magufuli
Waliuawa watu 21 kwa kosa lipi? Je ni sahihi kumuhusisha samia na upoteaji wa watu unaondelea nchini kwasasa? Vipi ni sahihi kumuhusisha samia na mauaji yawatoto yanayoendelea nchini?Huku Zanzibar waliuliwa watu 21 , Huko Bara namjua Azory gwandu, Zanzibar Mzee Ameir , Khamisi Ali
Zaidi soma hapa
Zitto Kabwe: Wenzagu 19 waliuawa na Serikali ya Hayati Magufuli
Waliuawa watu 21 kwa kosa lipi? Je ni sahihi kumuhusisha samia na upoteaji wa watu unaondelea nchini kwasasa? Vipi ni sahihi kumuhusisha samia na mauaji yawatoto yanayoendelea nchini?
We jamaa lazima ni Teacher wa kiswahili au civics😂Hadimu❌
Adimu✔️
Upanda❌
Hupanda✔️
Warabu❌
Waarabu ✔️
Ela❌
Hela✔️
Kwa mbuzi mzima (live) hawezi kufika huko unless mtu utumie ndege. Option pekee hapo ni kuchinja lakini pia ukisema uchinje kikwazo ni hao waarabu watataka certification ya HalalShida ni huyo mbuzi anafikaje moroco
Hizo hazina shaka, Kuna taasisi zina toa vibali hivyo vya uchinjajiKwa mbuzi mzima (live) hawezi kufika huko unless mtu utumie ndege. Option pekee hapo ni kuchinja lakini pia ukisema uchinje kikwazo ni hao waarabu watataka certification ya Halal