Fursa nchini Morocco: Biashara ya mbuzi inalipa sana

Fursa nchini Morocco: Biashara ya mbuzi inalipa sana

Bado uko huko tushirikiane hiyo biashara?
Nina uwezo wa kusafirisha mbuzi hata 300 kwa wiki.
Nina mambo mengine pia yamebana mda wangu sana kwaio sitaweza alaf pia mi mtu wa kuhama hama
 
Quality na service unayoofa inafanya bei kuwa juu au chini. Hizi mbuzi za vingunguti au huku kimtaani taani tutababaki kuuziana wenyewe...
Kingine watanzania wavivu kutafuta masoko mengine,na hili la kingereza ni tatizo pia anashindwa kuconnect na watu wapya. Nnimetembelea sehem izo sijakutana na mtanzania kwenye biashara izo.
 
Kwa umri wangu huu mdogo nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya nchi hapa Afrika,ktk fursa hii nimebahatika kwenda nchi ya Morocco.
Nilienda morocco kupitia Mali kwa Tombouctou airport ya mali to Duarzazate airport ya morocco.
Nikiwa morocco nimetembelea majiji tofauti tofauti km unavyojua tunaojitafuta kila tulipo tunaangalia furasa, kati ya majiji niliotembea ni pamoja na Nador, Tetouan na Tangier(mji wa kibiashara sana,maana hapa watu utoka ulaya kuja kufanya biashara hapa).
Kuna fursa nimeliona morocco, kwa mtu mwenye connection na mtaji unaweza ukaifanya. Morocco biashara ya Mbuzi inalipa sana, kule wanapenda sana nyama choma hasa ya mbuzi, wazungu wanatoka Spain kuja kununua mbuzi Morocco. Mbuzi mwenye ubora mzuri anauzwa hadi laki tano(500,000/=)kwa ela ya kitanzania na wakati mwingine mbuzi zinakuwa hadimu bei upanda.
Kule warabu wana ela hawalili bei kiasi hicho,km anaitaji atachukua.lkn mbuzi wengi sana wanaenda ulaya,nimeona niwasanue kwa hili.
Sasa hao mbuzi tunawafikishaje huko Morocco! Tutawapandisha kwenye ile ndege yetu ya mizigo, au!! Mimi hapa nilipo ninao kama 10 hivi, na wamenona kweli kweli.
 
Una maana gani kusema moja kwa moja hujawahi? .
Ukitoka Tz ukaenda Dubai then uka connect ndege kwenda Morocco sio moja kwa moja?
Mara nyingi natokea nairobi kwa privatecar hadi ethiopia,napanda ndege hadi algeria au mali inagemeana hapo katikati nina shughuli zipi ndo nitakaposhukia kwanza. Ila sasa wewe unatakiwa utumie usafiri wa ndege za mizigo hapo tz
 
Una maana gani kusema moja kwa moja hujawahi? .
Ukitoka Tz ukaenda Dubai then uka connect ndege kwenda Morocco sio moja kwa moja?
Nadhani kwa tz usafiri wa ndege bado changamoto, ndege chache, ratiba ya kuvizia, bei juu ukilinganisha na jirani hapo kenya au ethiopia na nk
 
Mara nyingi natokea nairobi kwa privatecar hadi ethiopia,napanda ndege hadi algeria au mali inagemeana hapo katikati nina shughuli zipi ndo nitakaposhukia kwanza. Ila sasa wewe unatakiwa utumie usafiri wa ndege za mizigo hapo tz
Kwa hiyo umeniona mzigo??
Kwa nini hata usiseme nipande ndege? Kulikuwa na ulazima wa kuweka ndge za mizigo?
 
Back
Top Bottom