Fursa ya biashara kwa wenye mitaji kuanzia 50,000

Fursa ya biashara kwa wenye mitaji kuanzia 50,000

Angesema yeye ni nani anapatikana wapi jina lake hili ni halisi au lah ingeleta maana kidogo

Siko hapa kuharibu biashara ya mtu ila umakini ni muhimu sana

Hii makitu ya China ni challenge mno
 
Kuna watu waaminifu na ambao wa kutilia shaka, biashara kati ya China na dsm/Tanzania imeshamiri sana...

Kuna little more wachina hawa ktk majiji makubwa wana maduka ya kuuza bidhaaa kwa bei nafuu...

Hivyo kama muhusika ana uza kwa bei nafuu na bora, pia usalama wa pesa ukizingatiwa basi fanyeni biashara

Na kwa sasa Tz INA watu wengi sana wana Fanya hii biashara ya China na Tz

Kwa mfano zile Brenda maaruf za China kuna wanao uza kuanzia 30,000/- na wengine wana piga mpaka 150,000/- bidhaa ni ile ile. Ila ndio biashara ilivyo,


uoga wako ndio umasikini wako, wasiwasi ndio akili
 
Sanaa Niliagiza mzigo na mtu Leo karibu mwaka sijawahi kuupata [emoji1787]

Bora iwe yako

Mimi niliagizia watu mpaka leo sijarudishiwa hela Wala kupata mzigo toka August 2020

Imebidi tu niwalipe
 
Hello guys kwa wenye interest pls nichek WhatsApp nikuonyeshe order za bidhaa tulizonazo kwa sasa ukiwa interested nazo ndo utoe oda. Hatuchukui oda ya kila kitu kwa wakati mmoja kwa mfano utakuta mwingine anataka raba za kiume mwingine anataka vyombo mwingine nguo za watoto inakuwa ngumu kukusanya oda kwa design hiyo. So tunachokifanya huwa tunachagua bidhaa kama tatu tofauti ndo tunazifanyia kazi kwa kutafuta oda. Kwa sasa tunazo hizo nilizowatumia hapo juu. Tukishafunga hizo tunaleta bidhaa zingine
 
Sanaa Niliagiza mzigo na mtu Leo karibu mwaka sijawahi kuupata [emoji1787]
Pole kwa kawaida mzigo ukichelewa sana ni miezi miwili sawa na siku 60 toka mzigo unapoanza safari sio toka unapolipia order yako. So anakuagizoa lazima akujuze siku ambayo amepeleka mzigo kwa ajili ya kuanza safari. Ila kwa mwaka mzima hunapata mzigo basi hapo hesabu maumivu
 
Back
Top Bottom