kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Nilishasamehe na now nakomaa mwenyewe tuPole kwa kawaida mzigo ukichelewa sana ni miezi miwili sawa na siku 60 toka mzigo unapoanza safari sio toka unapolipia order yako. So anakuagizoa lazima akujuze siku ambayo amepeleka mzigo kwa ajili ya kuanza safari. Ila kwa mwaka mzima hunapata mzigo basi hapo hesabu maumivu