FURSA YA BIASHARA.....

FURSA YA BIASHARA.....

Sir Kisesa

Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
25
Reaction score
23
Habari zenu, kuna fursa nimepata nzuri sana ila sina capita ya kutosha iko ivi.

Kuna jamaa anafanya kazi kampuni fulani ya mafuta ya kupikia, yaani kiwanda kipo nchi fulani kisha Tz kuna brach yao.

Jamaa ndo anahusika na oda zote zinatoka kwa kawateja, wao hawauzi dukani, ni watu wenye maduka wanakuja stoo kununua kwa bei ya jumla.
Fursa iko wapi?
Jamaa kwa kila oda kubwa anaweza kupata discount ya 500 kwa kila dumu la mafuta.
Yaani mteja akiweka oda ya dumu 1000, yeye anaenda kuongea na manager wake kumpunguzia mteja anapata kila dumu 500.

Tuna mtaji mdogo na tuna mwezi sasa, kuna mda tunapata oda kubwa hadi pcs 1,000 kila siku

Hatuna fundi

Kama kuna mtu ana capita ya kuweza kununua kuanzia dumu 200 kila siku unaingiza 100k hio ni net profit.

Ni biashara ya jumla ambayo faida yake ni ndogo lakini unaipata chapi bila changamoto yeyote.

Mchanganuo
Mfano.
1 dumu lt 20= 63,000 (zanzibar)
Ukiwa na 10m= 158 dumu
Profit 158×500= 79,000
Na kwa mwezi ni tsh 2,370,000

Nimeandika apa sio nimehadisiwa
Nina fanya na plani nipate 50m

Kadri unavyonunua mzigo mkubwa ndivyo faida inaongezeka.

Wateja wapo sio wa kutafuta.
Mtu ambaye anaweza kuinvest tukishirikiana na anahitaji maelezo zaidi. 0678362478 (whatsapp)
 
Dadavua zaidi mkuu, tuipate, kuweka 50M sio mchezo ...anyway nitakuja inbox
 
Hapa Kuna njia mbili za kupigwwa na Kitu Kizito Kichwani:-
Unaweza kulipa Pesa yako yote Kwa matapeli , Kwani ni lazima ulipie kwanza, na pili unaweza kununua Mafuta wewe ukabaki nayo mkononi ukakisa mteja , Bei uliyopewa ikawa juu kuliko soko.
NB:-
Mafuta yakula yaingizwa Kwa Kibali maalum nchini na wazalishaji wakubwa wenye Vibali ni MOE Dewj. Kupitia kampuni yake ya Safi , na Zakaria kupitia kampuni yake ya Murzah Oil (Korie) pamoja Azania .
Mafuta na Sukari na Ngano vina watu Maalum wa kuuza kuwa making.
OGOPA sana wale Jamaa wa kuingia bidhaa za magenfo kwenye Majahazi , utapiteza Hela zako Bute, Mizigo mingi inayoshushiwa kwenye Majahazi ni ya magendo, kuwa Makini ukisikia tu wanataja Zanzibar Bagamoyo.
 
Kama hujui nyamaza
Usidhani sote tupo ivo
 
Weka kwanza hapa kibali cha kuingiza hayo mafuta kisha uje pm nikutumie milioni 100 ufanye biashara.
 
Cc:

Kuna mda kukaza ubongo sio suluhisho
Mimi sijasema naingiza mafuta tena nilichoandika

Shida iko wapi
Panda boat nauli 30,000 njoo uone biashara inwvyofanywa

Nauli ya kurudi nakupa mimi comment bila kupata details ni kuharibu post
 
NAOMBA NJOO WAPE MAELEZO HAWA WANAJIFANYA MUCH KNOW WANADHANI KILA KITU WANAJUA
We jamaa mbona mimi bado sijaja inbox kwako bado....nije niwape maelezo gani wakati hata bado hatujaonana inbox... Kwa hii comment yako, hapa kuna harufu ya utapeli
 
Kuna mtu kaja inbox nikajua ni wewe, maana namba nilituma kwako. Kama sio wewe basi sio kesi ila kuna mtu kanifata inbox tumeongea
 
hakuna operating costs hapo ni kuweka tu faida moja kwa moja ???
 
Hapa Kuna njia mbili za kupigwwa na Kitu Kizito Kichwani:-
Unaweza kulipa Pesa yako yote Kwa matapeli , Kwani ni lazima ulipie kwanza, na pili unaweza kununua Mafuta wewe ukabaki nayo mkononi ukakisa mteja , Bei uliyopewa ikawa juu kuliko soko.
NB:-
Mafuta yakula yaingizwa Kwa Kibali maalum nchini na wazalishaji wakubwa wenye Vibali ni MOE Dewj. Kupitia kampuni yake ya Safi , na Zakaria kupitia kampuni yake ya Murzah Oil (Korie) pamoja Azania .
Mafuta na Sukari na Ngano vina watu Maalum wa kuuza kuwa making.
OGOPA sana wale Jamaa wa kuingia bidhaa za magenfo kwenye Majahazi , utapiteza Hela zako Bute, Mizigo mingi inayoshushiwa kwenye Majahazi ni ya magendo, kuwa Makini ukisikia tu wanataja Zanzibar Bagamoyo.
Kuna watu watakuchukia kwa kusema ukweli
 
Back
Top Bottom