Fursa ya kilimo Mbeya watu wachache sana wanahitajika

Nawatakia kila heri tatizo niko mbali sana ila laki 3 tu asee ndogo sana kwa thamani ya ardhi...vipi ardhi hio haina panya maana duh karanga na panya hatari
 
Haya mambo yanakuwaga na vilio mbele... kwa jinsi binadamu alivyo mbinafsi kama ni kitu kitamu atahakikisha anafaidika kwanza yeye na watu wake wa karibu.. kuja upost huku hawezi hata kumbuka. Anyway, kila la heri kwenu.
 
Kweli inabidi wanaoanza maisha.ekar tano ya mahari hakuna barabara vizazi vyangu si vitacheka.

Kigoma uvinza ekari moja laki shamba pembeni ya mto semi zinapitabusiku na mchana
Usifananishe kyela na vitu vya kijinga, ushaambiwa kula bata subiri wafugwe uletewe uuziwe mla bata.
Poyoyo
 
Haya mambo yanakuwaga na vilio mbele... kwa jinsi binadamu alivyo mbinafsi kama ni kitu kitamu atahakikisha anafaidika kwanza yeye na watu wake wa karibu.. kuja upost huku hawezi hata kumbuka. Anyway, kila la heri kwenu.
2012,13,14... Tuliishi Kwa upendo Sana jf... Nakumbuka nilivyobeba sungura wangu 10 kupeleka Kwa mwanajf morogoro wakati tunawasiliana JF tuu...
Nashauri wanao hitaji kuwekeza waje na mpaka muda huu nimepata mmoja. Mwishoni tutaandaa mrejesho
 
Nawatakia kila heri tatizo niko mbali sana ila laki 3 tu asee ndogo sana kwa thamani ya ardhi...vipi ardhi hio haina panya maana duh karanga na panya hatari
Hata nyoka sijaona .. Kwa wapenzi wa samaki, uyoga, maembe ndio Mahala pake
 
Ni vyema ukiandika Kwa staa fursa zilizopo muhenza watu waje waone
Ni kweli sijanena kwa staha .Maana yangu ni nchi hii kama unayo cash mil 3 hadi 5 n'a uko tayari kuhamia kijijini kuishi kama mkulima wa kawaida ww ni tajir ila nadhani mikoa kama mbeya .kilimanjaro n'a kagera ardhi ishapiganiwa sana ni aghali .ila mikoa kama kigoma .katavi.lindi.tanga huko bado ni shamba la bibi
Mfano mm ni ukupenda raha tu ila nina shamba la ekari 30 nilinunua mil 4 n'a liko pembezoni ya mto pale uvinza kutoka barabarani kilomita 3
 
Ni uwekezaji mzuri
 
Kweli inabidi wanaoanza maisha.ekar tano ya mahari hakuna barabara vizazi vyangu si vitacheka.

Kigoma uvinza ekari moja laki shamba pembeni ya mto semi zinapitabusiku na mchana
Aisee nimepita maeneo ya uvinza hapo kuelekea Kasulu mpaka mate yakawa yananitoka ardhi inarutuba mpaka basi. Cheki inbox Yako Kuna kitu nimekuuliza
 
MTWA

mtwa mkulu tafadhali ona ushahidi huu hiyo ardhi uvinza hajawahi lima mwanadamu tangu iumbwe mashamba mapya udongo mweusi toi. Karanga zinatoka ukubwa wa kudolegumba chako ardhi ekali haifiki laki n'a nusu na wanauza kuanzia ekali 10 kwenda juu
 
Back
Top Bottom