Fursa ya kilimo Mbeya watu wachache sana wanahitajika

Fursa ya kilimo Mbeya watu wachache sana wanahitajika

MTWA

mtwa mkulu tafadhali ona ushahidi huu hiyo ardhi uvinza hajawahi lima mwanadamu tangu iumbwe mashamba mapya udongo mweusi toi. Karanga zinatoka ukubwa wa kudolegumba chako ardhi ekali haifiki laki n'a nusu na wanauza kuanzia ekali 10 kwenda juu
Hujanitumia mkuu
 
1673174869461.png
 
2012,13,14... Tuliishi Kwa upendo Sana jf... Nakumbuka nilivyobeba sungura wangu 10 kupeleka Kwa mwanajf morogoro wakati tunawasiliana JF tuu...
Nashauri wanao hitaji kuwekeza waje na mpaka muda huu nimepata mmoja. Mwishoni tutaandaa mrejesho

Mfano [mention]Marire [/mention] alituletea fursa kibao
 
Ni kweli sijanena kwa staha .Maana yangu ni nchi hii kama unayo cash mil 3 hadi 5 n'a uko tayari kuhamia kijijini kuishi kama mkulima wa kawaida ww ni tajir ila nadhani mikoa kama mbeya .kilimanjaro n'a kagera ardhi ishapiganiwa sana ni aghali .ila mikoa kama kigoma .katavi.lindi.tanga huko bado ni shamba la bibi
Mfano mm ni ukupenda raha tu ila nina shamba la ekari 30 nilinunua mil 4 n'a liko pembezoni ya mto pale uvinza kutoka barabarani kilomita 3

Tanga Kuna utapeli wa Ardhi sina hamu napo
 
Fursakibao Mkuu hizo semi 19 ziko bandalini hapo kumbika kila container sijalihesabu hizo meri 4 zinasubiri zijae ziondoke kila baada ya siku tatu zinatudi zingine kuna mv azimio mv mdaraka zenye uwezo wa tan 500 kumbuka semi mwisho hubeba tan 30 so meri moja huondoka na semi 20.ni vema kujisumbua hata kugoogle
Zote hizo zinapita Uvinza? Nimepita huko juzi nilipishana na lori 2 TU. Kwahiyo nimezungumzia nilichokiona barabarani.
 
Nimezungumza na Wana Jf watatu watasafiri kuja mbeya hivi karibuni
 
Wakuu salamu,

Ninakifahamu kijiji kipo mbeya. Eneo linajoto maana ni karibu na kyela.

Ardhi nzuri Kwa kila zao unalo lijua kama ufuta, Karanga, mpunga , mahindi, ndizi na kila zao unalo lijua.

Changamoto:
Kijiji kinabarabara mbovu ajabu! Kiasi kwamba kimeachwa kama kisiwa na kina changamoto ya madaraja.

Uzuri:
Ardhi nzuri Sana inafaa Kwa kilimo na mifugo.

Ushuhuda:
Nimepata heka 5 Kwa sh. Laki tatu tuu mwishoni mwa mwaka Jana. Nimepanda mahindi, ndizi na kokoa.

Sababu ya kuandika hapa:
Mimi Kwa Asili ni mwanajamii Kwa miaka kenda rudi.

Nimetamani kuipata vijana wachache wasio zidi wanne ambao watapenda kuhamia katika hiki kijiji na kuendesha shughuli za kilimo na ufugaji
Sifa: Nashauri wawe vijana na wasiwe Wale mabepari.

Awe anaanzia maisha na anauwezo wa kuishi kabisa kijijini sio kutuma wafanyakazi. Wanakijiji wanahitaji Mtu wa kuishi nae na sio kuwekeza tuu na kuwaachia mashamba.

Ardhi nzuri mno wanaitoa Kwa gharama nafuu ili wapate watu wa kuishi nae.

N.B. Sitapokea fedha ya Mtu Ila Kwa atakae hitaji nitamuongoza mpaka Kwa wanakijiji ambapo atakabidhi fedha na kukabiziwa mji. Kwa Sasa eneo lolote la ukubwa wowote unao upenda linatolewa Kwa shilingi laki tatu Tu.

Karibuni tulime kijijini kwetu kuzuri.

Karibuni tuchimbe dhahabu ingawa ni vumbi vumbi.
Karibuni tuchome mkaa.

Kwa zaidi PM tafadhari
ughonile nkamu
 
Back
Top Bottom