Tuachane na mambo ya ukada tafadhali.. Ishu za exchange rate ni swala dogo sana sina interest na pesa za wajasiriamali hawa.. Ninacho aim ni kitu kikubwa sana ambacho nitakuwa ukombozi kwa wengi
Ningetaka kupiga hela ningepiga kupitia group za biashara za WhatsApp na Telegram kwa kutoza kiingilio kama wafanyavyo wengine.. Mimi watu wanafanya biashara za mamilion bure kabisa bila kutozwa hata thumni
Hizo group pekee zina watu 1500+ ningetaka faida wala nisingekuja Huku hao pekee wangenitosha
Angalia group hili MOJA pekee lina watu 800+ .. Hakuna kiingilio wala kitoleo.. Ningeamua kuchaji 5000 tu kwa mwezi nisingekosa si chini ya 4M kwa mwezi na kwa mwaka 48M+
Nje na tofauti zetu za kisiasa wote tunashare matatizo na changamoto zinazofanana! Nipo kusaidia sio kutengeneza faida
View attachment 2885001
Sent using
Jamii Forums mobile app