Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Kutakuwa na safari ya kibiashara kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo nchini China mji wa YI WU mwezi wa tatu mwaka
Mkuu, huu ubunifu ni wako? Hakika, wewe ni "kichwa". Hongera sana mkuu. Naamini wengi wataichangamkia hiyo fursa. Sitarajii huu uzi utapata comment za "unapigwa", n.k.

NB. Tripu kama hizi zisiishie mwezi March 2024. Ziwe endelevu🙏
 
Mkuu, hata kama utajinufaisha kupitia hiyo tripu sidhani kama kuna ubaya wo wote. Bado utakuwa umefanya jambo lenye tija na manufaa kwa wanufaika. Kwa mfano, ukiamua kuchaji kama dola mia moja ya kiingilio kwa kila mwendaji hilo lisingemkwamisha mtu aliye serious. Kwa kifupi, unachokifanya ni kizuri na hata ukiweka ada ni halali.
 
Mkuu, huu ubunifu ni wako? Hakika, wewe ni "kichwa". Hongera sana mkuu. Naamini wengi wataichangamkia hiyo fursa. Sitarajii huu uzi utapata comment za "unapigwa", n.k.

NB. Tripu kama hizi zisiishie mwezi March 2024. Ziwe endelevu[emoji120]
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku utaskia malalamiko ooh wabongo hatupendani,ooh wanaijeria na wakenya wanapeana sana connection,Sasa mwenzetu anataka kuwapa watu exposure Bado wanaleta vimanenomaneno
Yaani [emoji23][emoji23][emoji23] Halafu walio serious na hii ishu tayari michakato inaendelea..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini umekuwa so negative kwenye hii mada? Una agenda yoyote ya siri? Hakuna niliposema watu wanikabidhi pesa zao mbona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Take it easy mkuu! Assume hujaona vile. Unalilofanya lina tija sana. Angalia jinsi ya kuifanya ili iwe endelevu, hata ukiweka kiingilio ni sawa tu.
 
✅🙏🙏🙏
 
Umenena kwa hekima! Ubarikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…