Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Malaya wa China bei gani?
 
Hunaga baya brother
 
Hata ungeweka tozo mkuu si dhambi! Humlazimishi mtu. Ni biashara kama biashara zingine. Binafsi, nafasi yangu ikiniruhusu, nitaenda hata kama kutakuwepo na kiingilio, ila isizidi dola 400🀣
 
Uko sahihi mkuu. kuna watu hawajaelewa biashara ila wamekalili misemo ya mtaani.

cwz kushauri M5 uende China, chukua mzigo hapo ulipo au agiza, nauli ya kwenda China na kurudi ni mtaji.
Mkuu, ikiwa ana 5m pekee, na endapo itapotea yote haitamfanya afe, aende tu. Kuna faida kubwa sana kushuhudia kwa macho yako kile kinachofanywa na watu wengine huko "dunianai". Kutembea ni shule mkuu. Anaweza asiweze kununua mzigo wo wote lakini katika safari hiyo akapata wazo litakalomletea mapinduzi chanya maishani mwake.

Mwaka Jana mwezi Disemba nilienda Laikipia nchini Kenya kwa jambo fulani. Kwa sababu nilichelewa kuvuka , nilazimika kulala jijini Nakuru na kesho yake ndiyo nikaenda county ya Laikipia.

Lakini nikiwa pale Nakuru, nilipata wazo la biashara ambalo bado nalifanyia kazi, "likishaiva" nitarudi tena huko Nakuru kwa ajili ya utekelezaji. Tayari ninaye mwenyeji wangu huko Kenya ninayetarajia kushirikiana naye.

Kwa hiyo hata kama mtu hana uwezo wa kurudi na mzigo toka China, aende kama "mwanafunzi". Mwenda bure si sawa na mkaa bure.
 
Mkuu, unaonaje ukaanzisha kampuni ya kushughulika kuwatembeza Watanzania huko "duniani?" Naamini unalimudu hilo hasa ikizingatiwa kuwa umeshaishi nchi kadhaa Ughaibuni.

Kule Kenya kuna kampuni inayojishughilisha kuwatembeza Wakenya nchi mbalimbali kwa lengo la kupata exposure, lakini hasa kwa ajili ya kupamba passport zao ili iwe rahisi kwenda Mataifa makubwa. Utakuta wanaorganize safari za karibu kwa gharama nafuu, kama kutembelea Uganda, Rwanda, Tanzania, South Africa, n.k. Kwa hiyo mpaka mwaka unaisha, utakuta mtu mmoja mwenye kipato cha kawaida sana katembelea nchi zisizopungua tatu lakini kwa gharama ndogo sana.

Unaonaje ukifanya hivyo na wewe? Watanzania tuna ukosefu mkubwa sana wa exposure! Ukiianzisha, mimi nitakuwa miongoni mwa wateja wako.
 
Kama mtu unataka kufanya biashara unashindwa kufanya research na kukata tiketi mwenyewe na kufika maeneo unayoyataka mwenyewe ukaweza fanikiwa kibiashara basi hufai kufanya hiyo biashara

Ni weaker minded people wasio na akili za kutosha kuweza kujiendesha wenyewe na kufanya mambo wenyewe na kua serious na kazi

Ukishaanza kusaidiwa hadi eti kukata tiketi tayari wewe ni mafii tu
 
Ni aina gani ya tyre unayozungumzia hapa?
 
Mshara Jr naomba no yako kunakitu naomba tuzungumuze mim na wew nimeshawishika sana juu ya wazo lako hili, mimi nisajili nitakuwa wa kwanz kujiandikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…