Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Wabongo washamba sqna ukitembea nje ya nchi utajua maana ya utafiti wa biashara
 
Elimu .ni hela pia

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
 
Mimi naongelea vijana ambao bado wanajitafuta. Mkuu kijana ambaye ndo 5m yake ya kwanza sio sahihi kumshawishi aitumie kwenda kujifunza/kutalii China halafu akirudi aanze upya kutafuta mtaji. Hili mimi ninalipinga. Ni sawa na kuruka steji za ukuaji.
 
Nakupongeza sana. Nimefurahi kupata mtu tunayeshea mtazamo. Hata mimi kiukweli sitaki mtu ambaye sio mpambanaji na hana wazo lolote na kuchangamsha biashara. Kuna kijana dukani niliachana nae December hakuwa akiiba ila yeye kila kitu hajui. Yaani hana lolote la kuchangia mkiongelea biashara. Ni mtu wa kuelekezwa tu. Huyu mpya wa sasa mjanja mjanja ila ndo biashara inasonga.
 
Nakaa Mguu Sawa. Bht ikiwa upande wng 2024 utakuwa mwk wng
 
Chini ya Pua ndio wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…