Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ina maana wewe huna mdomo chini ya pia?Chini ya Pua ndio wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana wewe huna mdomo chini ya pia?Chini ya Pua ndio wapi?
Weka masharti hii ni fursa nzuri.Kwa vijana wasio na mishe naweza kuwapa mizigo ya mali kauli kama wakitimiza vigezo na masharti
Jina lako tuu linaakisi mawazo yako mgando. Boresha wazo sio kuli crash kwa fikra zenu za kimasikini.HAITOSHI. Mtu mwenye 6m akupe hiyo hela umnunulie mzigo. Kwa hawa Bongo movie hata 5m inatosha kwasababu wakifika wanajiuza kwanza
ukiitwa kwenye fursa ......Kutakuwa na safari ya kibiashara kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo nchini China mji wa YI WU mwezi wa tatu mwaka huu wa 2024 tarehe kumi hivi
Safari itakuwa ya pamoja kwa watu wasiopungua 10 na wasiozidi 20.. Faida ya safari hii ya pamoja
.Kupata barua ya mwaliko kwa bei nafuu
. Kupata tickets kwa bei nafuu
. Malazi ya pamoja ya bei nafuu uwapo huko
. Usafiri wa bei nafuu
. Ukalimani
. Mtandao wa maduka ya jumla makubwa na madogo
.Kupata connection mbalimbali za wafanyabiashara na wazalishaji wa China
. Gharama nafuu za chakula, vinywaji matembezi nknk
. Gharama nafuu na za uhakika za kusafirisha mizigo kurudi nchini..
Hii ni fursa mpya na wale watakaoweza kwenda ndio watafungua pazia kwa wengine huko mbeleni
Yale mambo ya kuagiza online ama kumuagiza mtu na kuishia kutapeliwa sasa yanafika mwisho.. Lakini vilevile kununua kitu kwa picha nayo yamafikia ukomo wake
Nitaweka mawasiliano rasmi kwa wale wote walio tayari.. Dirisha la waendaji litafungwa wiki ya pili ya mwezi February siku ya wapendanao
Nyongeza:
Kwa vijana wasio na mishe naweza kuwapa mizigo ya mali kauli kama wakitimiza vigezo na masharti
Sent using Jamii Forums mobile app
Next week panapo majaaliwa mkuuHii nimeipenda mkuu jitahidi iwe kweri na uweke mawasiliano yako hapa.
Amina kakaNakaa Mguu Sawa. Bht ikiwa upande wng 2024 utakuwa mwk wng
Nimepata uzoefu wa kutosha sasa[emoji1545]Mkuu wengi, (sio wote) sio waaminfu hata kidogo wanakuja kwa ngozi ya kondoo ila wameshindikana.
Ni mzigo halali uliolipiwa kodi zote hakuna magumashi hata kidogoVipi kuhusu huo mzigo ndani ya mabegi, TRA hawatatusachi?
Kaka nipo hapa sina mishe mjini naomba mzigo wa vifungashio nipo tayari kutimiza vigezoKutakuwa na safari ya kibiashara kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo nchini China mji wa YI WU mwezi wa tatu mwaka huu wa 2024 tarehe kumi hivi
Safari itakuwa ya pamoja kwa watu wasiopungua 10 na wasiozidi 20.. Faida ya safari hii ya pamoja
.Kupata barua ya mwaliko kwa bei nafuu
. Kupata tickets kwa bei nafuu
. Malazi ya pamoja ya bei nafuu uwapo huko
. Usafiri wa bei nafuu
. Ukalimani
. Mtandao wa maduka ya jumla makubwa na madogo
.Kupata connection mbalimbali za wafanyabiashara na wazalishaji wa China
. Gharama nafuu za chakula, vinywaji matembezi nknk
. Gharama nafuu na za uhakika za kusafirisha mizigo kurudi nchini..
Hii ni fursa mpya na wale watakaoweza kwenda ndio watafungua pazia kwa wengine huko mbeleni
Yale mambo ya kuagiza online ama kumuagiza mtu na kuishia kutapeliwa sasa yanafika mwisho.. Lakini vilevile kununua kitu kwa picha nayo yamafikia ukomo wake
Nitaweka mawasiliano rasmi kwa wale wote walio tayari.. Dirisha la waendaji litafungwa wiki ya pili ya mwezi February siku ya wapendanao
Nyongeza:
Kwa vijana wasio na mishe naweza kuwapa mizigo ya mali kauli kama wakitimiza vigezo na masharti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kujibana na kwa kuanzia inatosha kabisaBwana Mshana tunaomba utuwekee na ufacanuzi kidogo Mtu akiwa na amilioni 7 inatosha safari kwenda na kurudi, malazi na kukunua mzigo?
Safari haitazidi wiki mojaSafari yetu tukishaianza itachukua siku ngapi hadi kurudi?
Vipi kodi ya mzigo ukifika bandari?
Je? Kwa wanaokwenda twaweza watuma vitu?Kutakuwa na safari ya kibiashara kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo nchini China mji wa YI WU mwezi wa tatu mwaka huu wa 2024 tarehe kumi hivi
Safari itakuwa ya pamoja kwa watu wasiopungua 10 na wasiozidi 20.. Faida ya safari hii ya pamoja
.Kupata barua ya mwaliko kwa bei nafuu
. Kupata tickets kwa bei nafuu
. Malazi ya pamoja ya bei nafuu uwapo huko
. Usafiri wa bei nafuu
. Ukalimani
. Mtandao wa maduka ya jumla makubwa na madogo
.Kupata connection mbalimbali za wafanyabiashara na wazalishaji wa China
. Gharama nafuu za chakula, vinywaji matembezi nknk
. Gharama nafuu na za uhakika za kusafirisha mizigo kurudi nchini..
Hii ni fursa mpya na wale watakaoweza kwenda ndio watafungua pazia kwa wengine huko mbeleni
Yale mambo ya kuagiza online ama kumuagiza mtu na kuishia kutapeliwa sasa yanafika mwisho.. Lakini vilevile kununua kitu kwa picha nayo yamafikia ukomo wake
Nitaweka mawasiliano rasmi kwa wale wote walio tayari.. Dirisha la waendaji litafungwa wiki ya pili ya mwezi February siku ya wapendanao
Nyongeza:
Kwa vijana wasio na mishe naweza kuwapa mizigo ya mali kauli kama wakitimiza vigezo na masharti
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tena! Nicheki bila wasiwasi rafikiKaka nipo hapa sina mishe mjini naomba mzigo wa vifungashio nipo tayari kutimiza vigezo
Sawa mkuu utatupa muongozo zaidi kuhusu hilo.
10M kwa kuanzia inatoshaBiashara ya simu inahitako mtaji kiasi gani?
Mkuu unataka kwenda china tena?[emoji28]