Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Ndugu ukileta uzi humu jua umeanzisha mjadala. Sio lazima wote tutoe maoni unayotaka wewe. Halafu siku ukiacha upumbavu wa kusema biashara mwanzoni hailipi utafanikiwa sana. Achana na hiyo misemo ya kimaskini... sijui mwanzo mgumu, au ule wa "tunajifunza kupitia makosa"...
Ila kwa uzoefu wako mtaji wa milion 20 unafaa kwa kufuata bidhaa za urembo china?
 
20m inatosha kabisa kuanza biashara za China. Ila pia muhimu kujibana sana. Ukifika China lala sehemu ya bei rahisi na hata msosi kula wa bei rahisi. Bana matumizi utanunua mzigo wa kutosha.
Lengo nifanye biashara ya urembo na vipodozi sasa je nitajuaje kuwa vipodozi hivi haviruhusiwi Tanzania?
 
We jamaa waulize hao wanaosema nina mawazo mgando ya kimaskini... jibuni hoja sio kuanza kunishambulia binafsi wakati mmeleta uzi Public.
Nimekuuliza direct kwakuwa pamoja na utofauti wa hoja na mitazamo kitu ambacho ni sahihi kabisa umekuwa negative kwa asilimia mia moja ndio maana nikakuuliza kama kuna la ziada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaweza kuwa nje ya mada ila ni muhimu


Wakubwa, naweza pata muongozo wa biashara ya spare parts za pikipiki, kutoka China mpaka Dar es Salaam kwa kontena la 20 feet. Pamoja na mtaji wa biashara hiyo
Ukiweza twende kuliko kuagiza.. Kumbuka utakayemuagiza ataongeza cha kwake na anaweza kukuletea sub standard.. Pia faida ya kwenda mwenyewe ni kupata connection za direct

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuuliza direct kwakuwa pamoja na utofauti wa hoja na mitazamo kitu ambacho ni sahihi kabisa umekuwa negative kwa asilimia mia moja ndio maana nikakuuliza kama kuna la ziada

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna mtu kwenye huu uzi katukana tusi kubwa tu sijaona ukikosoa kwasababu ni supporter wako. Kwako wewe ni sawa mtu kutukana wengine kisa anakusapoti? Mimi siko negative na ishu yako... nimechangia mawazo kwa namna ya kuboresha na sijasema watu wasiende kwenye hiyo ziara.
 
Back
Top Bottom