digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Hongera kwa hili nakupongeza na kukutakia kila lililo jema,nitakutafuta,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni wazo zuri mama,Baba mtumishi nilipie niende nikaangalie masoko China 😜
Kuwa makini usije ukageuzwa wewe ndio fursa imani imekua ndogo sana kwa binadamu siku hizi.bonge la fursa
Nani anakusanya hizo hela za tickets?
Acha kudiscourage watu, na siyo Kila mtu anapenda kuonesha waziwazi kama anaunga mkono wazo au lah, wengine ni watu wa kufikiri na kutafakari hoja na kufanya analysis then anachukua hatua ya kimaamuzi. Uzuri hoja/wazo liko very clear na Bado linampa nafasi ya kuexplore zaidi kabla ya kuchukua uamuzi kwa kutake advantage ya timeline ni ya kutosha.Kwa jisni wanajf walivyo. Wengi watakua motivated ila watakao kwenda hawatafika 5
Kwani umesafiri umeenda wapi 🤣🤣ni wazo zuri mama,
muhimu zaidi kwanza kufatilia kikamilifu utaratibu kisha tuone namna tunavyoweza kuwezeshana lwenye jambo hili kwa hali na mali na maombi pia nikirudi safari...
Mm nahitaji uniconnect na duka linalouza mitambo ya kwenye migodi nataka contact zao kuagiza nitaagiza mwenyewe.
Kaka naona umefunga pm
Kwakweli sikuona.. Na si vizuri kutukana na kwa kuchukua uwajibikaji nilikuomba radhi sijui uliona? Kama hukuona basi nachukua tena nafasi hii kukuomba radhi kwa yeyote aliyekukwazaMkuu kuna mtu kwenye huu uzi katukana tusi kubwa tu sijaona ukikosoa kwasababu ni supporter wako. Kwako wewe ni sawa mtu kutukana wengine kisa anakusapoti? Mimi siko negative na ishu yako... nimechangia mawazo kwa namna ya kuboresha na sijasema watu wasiende kwenye hiyo ziara.
Hakuna shidaMm nahitaji uniconnect na duka linalouza mitambo ya kwenye migodi nataka contact zao kuagiza nitaagiza mwenyewe.
😀 nilitoka mkoani juzi,Kwani umesafiri umeenda wapi 🤣🤣
Mimi nimediskaleji watu kwa namna gani?Acha kudiscourage watu, na siyo Kila mtu anapenda kuonesha waziwazi kama anaunga mkono wazo au lah, wengine ni watu wa kufikiri na kutafakari hoja na kufanya analysis then anachukua hatua ya kimaamuzi. Uzuri hoja/wazo liko very clear na Bado linampa nafasi ya kuexplore zaidi kabla ya kuchukua uamuzi kwa kutake advantage ya timeline ni ya kutosha.
Najizuia sana sana kusema nimekudharauNani anakusanya hizo hela za tickets?
Ukienda Mbeya niletee matoke😀 nilitoka mkoani juzi,
leo hii tena niko njiani naelekea mkoani muda huu
Wewe kila mara huoni? Acha mambo ya ajabu. Nimeitwa hapo Chawa kwa dhihaka ukajibu kuwa unaendelea kunielimisha. Utanielimisha nini wewe kuhusu China? UKIENDELEA NA HUU UNAFIKI SITAVUMILIA ZAIDI.Kwakweli sikuona.. Na si vizuri kutukana na kwa kuchukua uwajibikaji nilikuomba radhi sijui uliona? Kama hukuona basi nachukua tena nafasi hii kukuomba radhi kwa yeyote aliyekukwaza
Sent using Jamii Forums mobile app
shukran kwa angalizo mkuuKuwa makini usije ukageuzwa wewe ndio fursa imani imekua ndogo sana kwa binadamu siku hizi.
Siwezi acha uoga, dunia hii ukiona fursa usikimbilie huenda we ndio fursa.Ostadh acha uoga
Mkuu samahani naweza kuwa nauliza maswali ya kukera ila ni katika kuhakikisha tu kuwa hakutakua kuwa na wasiwasi huko mbele unajua dunia imebadilika sana .
Wewe Jomba kama hii issue ni ya wanaCHADEMA peke yao wekeni wazi pia ili tusitie neno kwenye mambo ya CHADEMA.Usisahau kuwa huyo ni chawa amezoea vya kunyonga, mpotezee tu