Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Naweza nikaja pm mkuu Kama hutojali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza nikaja pm mkuu Kama hutojali
Ila kwa uzoefu wako mtaji wa milion 20 unafaa kwa kufuata bidhaa za urembo china?Ndugu ukileta uzi humu jua umeanzisha mjadala. Sio lazima wote tutoe maoni unayotaka wewe. Halafu siku ukiacha upumbavu wa kusema biashara mwanzoni hailipi utafanikiwa sana. Achana na hiyo misemo ya kimaskini... sijui mwanzo mgumu, au ule wa "tunajifunza kupitia makosa"...
We jamaa waulize hao wanaosema nina mawazo mgando ya kimaskini... jibuni hoja sio kuanza kunishambulia binafsi wakati mmeleta uzi Public.Hivi kwanini umekuwa so negative kwenye hii mada? Una agenda yoyote ya siri? Hakuna niliposema watu wanikabidhi pesa zao mbona?
Sent using Jamii Forums mobile app
20m inatosha kabisa kuanza biashara za China. Ila pia muhimu kujibana sana. Ukifika China lala sehemu ya bei rahisi na hata msosi kula wa bei rahisi. Bana matumizi utanunua mzigo wa kutosha.Ila kwa uzoefu wako mtaji wa milion 20 unafaa kwa kufuata bidhaa za urembo china?
VipodoziHivi mkuu kati ya biashara ya vipodozi na viatu ipi ina mzinguko mkubwa ukiachana na mambo ya location
Lengo nifanye biashara ya urembo na vipodozi sasa je nitajuaje kuwa vipodozi hivi haviruhusiwi Tanzania?20m inatosha kabisa kuanza biashara za China. Ila pia muhimu kujibana sana. Ukifika China lala sehemu ya bei rahisi na hata msosi kula wa bei rahisi. Bana matumizi utanunua mzigo wa kutosha.
Usisahau kuwa huyo ni chawa amezoea vya kunyonga, mpotezee tuHivi kwanini umekuwa so negative kwenye hii mada? Una agenda yoyote ya siri? Hakuna niliposema watu wanikabidhi pesa zao mbona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata akienda mmoja bado ni mafanikio tuKwa jisni wanajf walivyo. Wengi watakua motivated ila watakao kwenda hawatafika 5
Fuatilia kwenye mamlaka zinazohusika.Lengo nifanye biashara ya urembo na vipodozi sasa je nitajuaje kuwa vipodozi hivi haviruhusiwi Tanzania?
Nilishasema nitafanya hivyo next week kuna taratibu nakamilishaTuwekee anuani ili tujue taratibu za ziada vinginevyo huenda tukapoteza mawasiliano kwani hatuwezi muda wote kuingia JF.
Nimekuuliza direct kwakuwa pamoja na utofauti wa hoja na mitazamo kitu ambacho ni sahihi kabisa umekuwa negative kwa asilimia mia moja ndio maana nikakuuliza kama kuna la ziadaWe jamaa waulize hao wanaosema nina mawazo mgando ya kimaskini... jibuni hoja sio kuanza kunishambulia binafsi wakati mmeleta uzi Public.
Ngoja niende naye taratibu na kwa hekima ili apate kuelimikaUsisahau kuwa huyo ni chawa amezoea vya kunyonga, mpotezee tu
Ukiweza twende kuliko kuagiza.. Kumbuka utakayemuagiza ataongeza cha kwake na anaweza kukuletea sub standard.. Pia faida ya kwenda mwenyewe ni kupata connection za directYaweza kuwa nje ya mada ila ni muhimu
Wakubwa, naweza pata muongozo wa biashara ya spare parts za pikipiki, kutoka China mpaka Dar es Salaam kwa kontena la 20 feet. Pamoja na mtaji wa biashara hiyo
Anaelewa sana ameamua kuwa mharubifu
Baba mtumishi nilipie niende nikaangalie masoko China 😜bonge la fursa
Kumekucha 🤣🤣🤣HAITOSHI. Mtu mwenye 6m akupe hiyo hela umnunulie mzigo. Kwa hawa Bongo movie hata 5m inatosha kwasababu wakifika wanajiuza kwanza
Mkuu kuna mtu kwenye huu uzi katukana tusi kubwa tu sijaona ukikosoa kwasababu ni supporter wako. Kwako wewe ni sawa mtu kutukana wengine kisa anakusapoti? Mimi siko negative na ishu yako... nimechangia mawazo kwa namna ya kuboresha na sijasema watu wasiende kwenye hiyo ziara.Nimekuuliza direct kwakuwa pamoja na utofauti wa hoja na mitazamo kitu ambacho ni sahihi kabisa umekuwa negative kwa asilimia mia moja ndio maana nikakuuliza kama kuna la ziada
Sent using Jamii Forums mobile app