Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Kwa jisni wanajf walivyo. Wengi watakua motivated ila watakao kwenda hawatafika 5
Acha kudiscourage watu, na siyo Kila mtu anapenda kuonesha waziwazi kama anaunga mkono wazo au lah, wengine ni watu wa kufikiri na kutafakari hoja na kufanya analysis then anachukua hatua ya kimaamuzi. Uzuri hoja/wazo liko very clear na Bado linampa nafasi ya kuexplore zaidi kabla ya kuchukua uamuzi kwa kutake advantage ya timeline ni ya kutosha.
 
Kwakweli sikuona.. Na si vizuri kutukana na kwa kuchukua uwajibikaji nilikuomba radhi sijui uliona? Kama hukuona basi nachukua tena nafasi hii kukuomba radhi kwa yeyote aliyekukwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimediskaleji watu kwa namna gani?
Nimeongea uhalisia wa watu wa jf. Kunasehwm nimeCriticize???
 
Kwakweli sikuona.. Na si vizuri kutukana na kwa kuchukua uwajibikaji nilikuomba radhi sijui uliona? Kama hukuona basi nachukua tena nafasi hii kukuomba radhi kwa yeyote aliyekukwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kila mara huoni? Acha mambo ya ajabu. Nimeitwa hapo Chawa kwa dhihaka ukajibu kuwa unaendelea kunielimisha. Utanielimisha nini wewe kuhusu China? UKIENDELEA NA HUU UNAFIKI SITAVUMILIA ZAIDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…