Fursa ya ufugaji wa ng'ombe wa asili kwa ajili ya nyama na maziwa kwa maeneo yaliyokaribu na soko

Huyu Motivation Speaker kama umemlipa hela kamwambie arudishe na mangumi juu.

Kakudanganya sana tu tafuta wafugaji tukueleze siyo huyo motivation atakudanganya utupie mtaji wako wote ujinyonge bure.

Kwanza mtamba wa 250000/=unaupata wapi ?
Zagamba la Boran upate kwa 300000/=?
 
Natamani kujua Kenya wanatumia mbinu gani au ni utaalamu gani unatumika
mkuu unaweza kwenda kujifunza ila utalipa, google githunguri dairy farmers, ikom karibu na mji mkuu nairobi kaa chini ya 100km hivi, wakulima toka kenya mzima wanenda hapo kujifunza, all the est mkuu, ningekueleka israel ukajifuze zaidi ila sijui uwezo wako wa fedha
 
Ada shngap?na wanajifunza kwa mda wa cku ngap,au miez mingap?
 
Ukiandikiwa Fursa jua wewe ndio Fursa
 
Ada shngap?na wanajifunza kwa mda wa cku ngap,au miez mingap?
wabongo bhana eeeh, yaani unataka ufanyiwe kila kitu, shida iko wapi ya kugoogle hio kamupuni na mambo yote iko katika website yao, hata nambari za simu, saduku za posta na wengine mengi tuache hii uvivu toka nae, kwa ajili ya kujenga taifa
 
Mkuu tembelea minada ya mikoani utakubaliana na bei hii..kuhusu dume la laki 3 nimeshauri uchukue dogo llliloacha kunyonya..hiyo ndio bei na mimi nimeuza sana wa aina hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…