Kijana kumbe ulifanikiwa huko Visiwani.. hongera sanaAje Nungwi tu mkuu, no need to bounce around huko kwingine kote hakuna ambacho hakipo Nungwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana kumbe ulifanikiwa huko Visiwani.. hongera sanaAje Nungwi tu mkuu, no need to bounce around huko kwingine kote hakuna ambacho hakipo Nungwi.
DSMUko mkoa gan
Yeiyeah, asante sana sis.Kijana kumbe ulifanikiwa huko Visiwani.. hongera sana
Busyuzi umepoa
Hivi uko Zanzibar sehemu gani?Busy
#####
Niko Eapot kwa sasa. Lakin kuanzia jumatano wik hii nitakuwa DaresalaamHivi uko Zanzibar sehemu gani?
Ok.Niko Eapot kwa sasa. Lakin kuanzia jumatano wik hii nitakuwa Daresalaam
Mkuu kukitokea nafasi za ualimu wa msingi usisite kutujulishaMkuu ikitokea kuna nafasi ya mtu wa afya(bwana afya,daktari nk)usisite kutujulisha
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI...!!!Mkuu kukitokea nafasi za ualimu wa msingi usisite kutujulisha
Mkuu vipi kazi Kwa upande wa mwanza?[emoji1911]Nafasi za kazi kwa cleaner & Messenger
1. Nahitaji Office Cleaner ambaye atakua Mpishi pia, so akiwa amesomea mambo ya mapishi itakua msaada zaidi, Mshahara 150,000 kwa mwezi
2. Nahitaji Office Messenger, anayeweza kuendesha pikipiki na awe na leseni, mshahara ni 200,000
Elimu atleast form 4 kwa wote.
Ofisi zipo Dar: Mwenge
Wanitumie
kwa whatsapp tu no calls
- CV & Vyeti ( Cleaner )
- CV, Vyeti & leseni (Messenger)
Namba: 0759931567