Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
- #241
Hii namba ya dalali pale bahresa sio? Naijua hiiFursa hyo ila msitume pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii namba ya dalali pale bahresa sio? Naijua hiiFursa hyo ila msitume pesa
ndio anaeingiza watu huyoHii namba ya dalali pale bahresa sio? Naijua hii
Huyu anatakaga elfu 12 ya udalali. Na ukiingia mule unawez kulia hela yako unaipataje mana nganganga! Kuna jamaa aliwah kutapika mulendio anaeingiza watu huyo
duhHuyu anatakaga elfu 12 ya udalali. Na ukiingia mule unawez kulia hela yako unaipataje mana nganganga! Kuna jamaa aliwah kutapika mule
Hii namba naifaham mkuu. Mm hizo kaz nimefanyaga pale.. huyu ni dalali
Uo uwinga namm nautakaWonderful kule wamejaa majobles nawatumia hapa nafas waombe hawaombi kisa hawana koneksheni. Nawafundisha uwinga kariakoo hawataki! Mpaka tuwatolee poss mitaan huku ndo wapate akili? Maisha hayana huruma wazee
Nimetoa uzi namna ya kuwa winga na pointa majobles wanaupita tu. Huku nawatumia nafas za kazi hawatokei.. wamajezana uzi wa mikekaUo uwinga namm nautaka
Ngoja niutafuteNimetoa uzi namna ya kuwa winga na pointa majobles wanaupita tu. Huku nawatumia nafas za kazi hawatokei.. wamajezana uzi wa mikeka
Ngoja niutafute
Unatumaje hii cvNAFASI ZA KAZI
Nafasi: Call Center (Customer Care Agent)
Location: Dar es salaam
Mshahara: TZS 250,000/-
Idadi: Watu 200.
Faida nyingine: 2000/- ya chakula cha Mchana.
Kamisheni: ukitimiza Lengo.
VIGEZO VINAVYOHITAJIKA:
1. Uwe unamiliki simu janja (smartphone) aina ya Android.
2. Unaishi Dar es Salaam
3. Kwanzia miaka 18 - 30
4. Elimu kwanzia kidato cha 4 na kuendelea
Uwe unaishi maeneo yafuatayo:
Magomeni
- Kinondoni
- Mikocheni
- Sinza
- Ubungo
- Tegeta
- Kawe
- Kimara, na maeneo mengine ya karibu.
USAHILI UNAANZA: Tarehe 30/07/2024 (Jumanne) mpaka 20/08/2024
MAHALI PA USAHILI: Ofisi za BOL, Jengo la Oyster Plaza, Gorofa ya 2, Barabara ya Haile Selassie, Oysterbay .
MUDA: Kuanzia 4:00 Asubuhi.
Kazi kama hizi umeambiwa interview siku flani beba cv yako n3nda nayo inaangaliwa hapohapo na interview hapohapo. Jengo limeainishwaUnatumaje hii cv