Yes vuou vingini huko ujerumani elimu ni bure kwa wananchi wake ... kuhusu kusoma bure ... kwa wageni labda tusbiri mwongozo kwa wadauNilisikia mtanzania kusoma ujerumani ni free, lakini itakulazima kusoma kijerumani kwanza kabla ya ya kwenda.
It's free to apply diversity visa lottery/green card ..Hiz visa nahitaj max kias gan kuomba?
Naomba kuuliza hivi huwezi kusafiri bika kua na tiketi ya kwenda na kurudi?? Lazima ziwe 2???It's free to apply diversity visa lottery/green card ..
ila ukishapata ukaazi wakudumu unajighramaikia visa , nauli ya kusafiri.. na uwe na pesa za kujikimu wewe na familia yako /baba mama watoto! Maana ukishinda wewe hado watoto unaondoka nao na wanahaki ya kisoma hiko bure kama raia wa US
Inategemea umepewa visa ya muda gani na ya aina gani..Naomba kuuliza hivi huwezi kusafiri bika kua na tiketi ya kwenda na kurudi?? Lazima ziwe 2???
Ok. Daah naona ukiwa ya miezi 3 bado watahitaji uwe na kwenda n kurudi.Inategemea umepewa visa ya muda gani na ya aina gani..
Nchi nyingi wameweka hiyo sheria lazima ukate go and return.. so unaweza fika huko uka cancel tiketi ya kurudi ukarudishiwa nusu hasara
Ethiopian air kenyair ...mkuu yapo mengi mkuu !Ok. Daah naona ukiwa ya miezi 3 bado watahitaji uwe na kwenda n kurudi.
Vipi unaweza kua unafahamu nauli ya kufika DXB. Naona emirates nauli imechangamka hakuna mashirika mengine yanayofanyab safari kutoka bongo??
Tetesi: ni kweli kuwa wizara ya elimu haitaki kuzitambua cultural exchange program zitolewazo na organisation za huko U.S na Europe???
Kama ni kweli mbona bado tupo nyuma sana.. , nasikia hata intern hawataki vijana wakafanye intern nje ya nchi??????
Wanaija wamefanya tao tena... wiki kadhaa zilizopita wamehack mfumo wa form za mapmbi ya visa ya marekani kitu kama Hb1 visa...
Tetesi ni kuwa walijifanya wa Tz sasa sijiui walitumia PASSPORT zeyu za tz au ni vipi ...
Bafo uchunguzi unaendelea...
Fanya kuzitupia hapa ukikutana nazo mkuu...ubarikiwe sana kwa moyo wako wa kutaka watu wako wataramke .Fursa nyingi za internship, training na programu mbalimbali zinazotolewaa na nchi za nje kwaajili ya wa - Tz wanufaika wakubwa no wahindi waishio hapa Tz ...!
Inauma sana..weusi hatupendani.Tetesi: ni kweli kuwa wizara ya elimu haitaki kuzitambua cultural exchange program zitolewazo na organisation za huko U.S na Europe???
Kama ni kweli mbona bado tupo nyuma sana.. , nasikia hata intern hawataki vijana wakafanye intern nje ya nchi??????