Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Dvprogram.state.gov

Bado siku mbili deadline kufika .

Mwisho wa application za bahati nasibu ya green card /visa ya marekani
Green card lottery/ Permanent residency mwaka jana watz walioombaa ni kama 4,000 lqkini wakenya walioomba ni zaidi ya 300,000 hahaha hatari sana

Tukija kwenye issue za scholarship West african ndio qanaoongoza kwa kuomba...

Inaelekea tz bado tutaendelea kuwa nyuma sana tuna kosa exposure kwa kujifungia ndani kwa kisingizio za "uzalendo"
 
Msaada kidogo wakuu...
Hivi katika uombaji wa passport kwa ajili ya masomo, ni lazima uwe umeshapata admission letter kutoka chuo unachotakiwa kwenda kusoma.
 
Msaada kidogo wakuu...
Hivi katika uombaji wa passport kwa ajili ya masomo, ni lazima uwe umeshapata admission letter kutoka chuo unachotakiwa kwenda kusoma.
hapamna sio lazima, hakikisha una documents muhimu za ku prove kuwa wewe ni mwanafunzi, na uwaambie kuwa unafuatilia scholarship ujiendeleze kimasomo
 
hapamna sio lazima, hakikisha una documents muhimu za ku prove kuwa wewe ni mwanafunzi, na uwaambie kuwa unafuatilia scholarship ujiendeleze kimasomo
Sasa atawezaje ku-prove kama yeye ni mwanafunzi bila ya kuwa na admission letter ya chuo? Au mie ndio sijaelewa.

Changamoto ya upatikanaji wa Passport iliyopo ni kuwa, ukiomba passport kuwa unahitaji kwenda masomoni, wanakuomba admission letter, ambapo kuipata hiyo admission letter inakuhitaji uwe na Passport. Nchi za wenzetu Passport ni kama ID tu, yaani ni haki ya RAIA. Ila kwetu Passport ni kama kutafuta utajiri..
 
Msaada kidogo wakuu...
Hivi katika uombaji wa passport kwa ajili ya masomo, ni lazima uwe umeshapata admission letter kutoka chuo unachotakiwa kwenda kusoma.
Anza kujaza online ... pale dhumuni la safair chagua kusoma.
Andaa

*Nida
*Cheti cha kuzaliwa
* Form Four /six leaving certificate
*Kitambulisho cha uwanafunzi/kama bado upo
chuo.
*Barua ya utambulisho ya unaposoma ukiipata
itakuongezea uzito.
*barua ya utambulisho serikali ya mtaa
*print izo form unazojaza zinazo onesha shemeu
ya kudai passport!
Hzi docs zote nenda nazo na ORIGINAL pamoja na copy
Jielezee kuwa unahitaji kwa ajili ya maombi ya scholarship/sponsorship to further your education.

Nafikiri ukiwa na hivyo vitu hapo juu vitasaidi kuongeza uzito wa ombi lako fasta...
 
PASSPORT zetu zinatumika hovyo hata majuzi kati wanaija walio hack mfumo qa maombi ya hb1 visa huko ... documents zao wamezifoji waonekane ni wa Tz
 
Hizi watu waliapply kweli ?
 
Mkuu ni muda sasa wa kutupa udates mpya..
 
Mkuu mimi nimejaza hayo mambo kufika sehemu ya vyeti vya kuzaliwq vya wazazi nikakwama....sijui kama inawezekana bila hivyo vyeti
 
Mkuu mimi nimejaza hayo mambo kufika sehemu ya vyeti vya kuzaliwq vya wazazi nikakwama....sijui kama inawezekana bila hivyo vyeti
Ni lazima iwe na cheti cha kuzaliwa/ affidavit kimoja wapo cha mzazi mmojawapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…