6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
- Thread starter
- #301
Green card lottery/ Permanent residency mwaka jana watz walioombaa ni kama 4,000 lqkini wakenya walioomba ni zaidi ya 300,000 hahaha hatari sanaDvprogram.state.gov
Bado siku mbili deadline kufika .
Mwisho wa application za bahati nasibu ya green card /visa ya marekani
Tukija kwenye issue za scholarship West african ndio qanaoongoza kwa kuomba...
Inaelekea tz bado tutaendelea kuwa nyuma sana tuna kosa exposure kwa kujifungia ndani kwa kisingizio za "uzalendo"