Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idiot.Yaani tumefundisha vijana wetu hadi chuo, leo hii tuwahimize wakatafute fursa ughaibuni? yaani jitihada zote hizo ziishie kuwafaidisha mabeberu ambao wao hawataki kuzaa watoto zaidi ya kufuga mbwa.....vijana wawezeshwe kutumia fursa zilizopo nchini kujijenga wao, familia zao na taifa kiujumla....tuachane na wakenya wao walishajitoa kitambo kuwa manamba huko ughaibuni....
Imepiga kunako...Idiot.
Mkuu toa michongo, nataka kuomba ajira ya lecturer pale University of New England na haka kwa phd kangu....bongo ishakuwa michosho sanaaaa.Sidhani kama utapata visa kwa kwenda kusoma short course, labda interns na ajira kwa watu wenye masters na phd sasa hivi kuna shortage ya wafanyakazi due to covid..
Tatizo kama huna international experience kupata kazi kubwa kama hizo nj mtihani kidogo kwa immigrants! Lakini inawezekana.Mkuu toa michongo, nataka kuomba ajira ya lecturer pale University of New England na haka kwa phd kangu....bongo ishakuwa michosho sanaaaa.
unataka fursa zipi? Masomo, ajira, biashara au kudanga (ben 10)!Kama zipo jaribu kushare mkuu.
Sio kweli, kabda kama kuna baadhi hazitambuliwi. Nawajua baadhi walio kwisha pata hii fursa.Tetesi: ni kweli kuwa wizara ya elimu haitaki kuzitambua cultural exchange program zitolewazo na organisation za huko U.S na Europe???
Kama ni kweli mbona bado tupo nyuma sana.. , nasikia hata intern hawataki vijana wakafanye intern nje ya nchi??????
cscuk.fcdo.gov.uk
FREE MASTER'S DEGREE IN U.K. | COMMONWEALTH SHARED SCHOLARSHIP 2022
APPLY MAPEMA SANA !!!!!!
LINK HAPA CHINI INA MAELEZO YA KUTOSHA KABISA /LEGIT
![]()
Commonwealth Shared Scholarships - Commonwealth Scholarship Commission in the UK
The Commonwealth Shared Scholarship programme is one of three Master’s programmes offered by the Commonwealth Scholarship Commission.cscuk.fcdo.gov.uk
You can apply for more than one course and to more than one university through the Commonwealth Shared Scholarships Scheme, but you may only accept one offer of a Shared Scholarship. Note these awards are only for Master’s courses and not for undergraduate or PhD study.FREE MASTER'S DEGREE IN U.K. | COMMONWEALTH SHARED SCHOLARSHIP 2022
APPLY MAPEMA SANA !!!!!!
LINK HAPA CHINI INA MAELEZO YA KUTOSHA KABISA /LEGIT
![]()
Commonwealth Shared Scholarships - Commonwealth Scholarship Commission in the UK
The Commonwealth Shared Scholarship programme is one of three Master’s programmes offered by the Commonwealth Scholarship Commission.cscuk.fcdo.gov.uk
Applications will close at 16:00 (GMT) on 20 December 2021.Scholar eligibility
To apply for these scholarships, you must:
- Be a citizen of or have been granted refugee status by an eligible Commonwealth country, or be a British Protected Person
- Be permanently resident in an eligible Commonwealth country
- Be available to start your academic studies in the UK by the start of the UK academic year in September 2022
- By September 2022, hold a first degree of at least upper second-class (2:1) honours standard, or a lower second-class degree (2:2) and a relevant postgraduate qualification (usually a Master’s degree).
- Not have studied or worked for one (academic) year or more in a high-income country
- Be unable to afford to study at a UK university without this scholarship
- Have provided all supporting documentation in the required format
Athuman Mpambije AthumanFREE MASTER'S DEGREE IN U.K. FOR COMMONWEALTH SHARED SCHOLARSHIP 2022
TANZANIA IPO ELIGIBLE
APPLY MAPEMA SANA !!!!!!
LINK HAPA CHINI INA MAELEZO YA KUTOSHA KABISA /LEGIT
![]()
Commonwealth Shared Scholarships - Commonwealth Scholarship Commission in the UK
The Commonwealth Shared Scholarship programme is one of three Master’s programmes offered by the Commonwealth Scholarship Commission.cscuk.fcdo.gov.uk