Fursa zilizopo DR Congo

Kule vyakula kama maharage, mchele ni unyama, pia vinywaji kama juisi ni sawa maana kama Congo ya upande wa Zambia wanategemea sana vinywaji kutoka Zambia
Aise ila tatizo ni vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…