Fursa zilizopo DR Congo

Fursa zilizopo DR Congo

Biashara zipo nyingi, ila vyakula vyote vinauzika kule Kongo wana ardhi nzuri lakini hawalimi sababu ya vita.!!

Halafu kingine kinachofanya watu watoboe wanatumia dollar, ukipeleka samaki, dagaa, unga uhakika wa pesa nje nje japo wengine wanaenda kuchimba madini..!!
Mmh hii idara mbona nashawishika kukuvulia kofia
 
Back
Top Bottom