Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
- #41
No means itabidi wategemee chakula kutoka nje ya Congoshida sio hawa fanyika kazi, huo uzalishaji uta fanyika saa ngapi na wakati Wana kichafua kila saa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No means itabidi wategemee chakula kutoka nje ya Congoshida sio hawa fanyika kazi, huo uzalishaji uta fanyika saa ngapi na wakati Wana kichafua kila saa.
Dah aiseWao wanapeleka mazao ya chakula na kurudi na vipodozi.
Mikorogo,vumbi la congoWao wanapeleka mazao ya chakula na kurudi na vipodozi.
Wanapenda vipodoziMikorogo,vumbi la congo
Mmh hii idara mbona nashawishika kukuvulia kofiaBiashara zipo nyingi, ila vyakula vyote vinauzika kule Kongo wana ardhi nzuri lakini hawalimi sababu ya vita.!!
Halafu kingine kinachofanya watu watoboe wanatumia dollar, ukipeleka samaki, dagaa, unga uhakika wa pesa nje nje japo wengine wanaenda kuchimba madini..!!
Aise itabidi niingie huko nisome ramani kwanza
Amna shida mkuu lakini lazima kufanya tour kwanzaTuungane tukaangalie cha kupeleka huko
Ndio uzitaje sasaCongo Ina fursa nyingi sana
Kwanini mkuu?Mmh hii idara mbona nashawishika kukuvulia kofia
Misosi kwako kipaumbeleKwanini mkuu?
Ndiyo.kinachobeba ule unga wa mlipuko Huwa ni shaba yaani Ganda la risasiHivi risasi inatengenezewa shaba?
😹 Hamna sema ni vitu ambavyo nanunua mara nyingi so nna uzoefu..!!Misosi kwako kipaumbele
Sawa mkuu..Ndiyo.kinachobeba ule unga wa mlipuko Huwa ni shaba yaani Ganda la risasi
Sawaa tajiri😹 Hamna sema ni vitu ambavyo nanunua mara nyingi so nna uzoefu..!!