Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Watu wengi wanaokwenda kuwekeza DRC Congo kutoka Tanzania hurudi wakiwa na utajiri mkubwa. Je, ni biashara gani hasa wanazofanya huko zinazowaletea mafanikio haya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama napata dhahabu na napata na shaba mbona jambo la kushukuru MunguMadini hasa dhahabu ila usiogope shaba
ni kwamba hujaelewa alichomaanisha?Kama napata dhahabu na napata na shaba mbona jambo la kushukuru Mungu
DuhMadini hasa dhahabu ila usiogope shaba
Lakini fursa nadhani ni nyingi sanaHigh Risk High Return and Vice Versa is true.
Hivi risasi inatengenezewa shaba?ni kwamba hujaelewa alichomaanisha?
Shaba Wana maana ya risasi, kwa lugha ya kimtaa mtaa.Hivi risasi inatengenezewa shaba?
Heheee utata kwenye utata ila bamutu ya bongo tunakubalika sana kule asikuambie mtu , dhahabu na shaba yote madini hahaa...ni kwamba hujaelewa alichomaanisha?
Ngoja tutafute soko kwanza ila si wanavua maana sehemu kama Kinshasa Ina bahariPeleka dagaa zina mzunguko mzuri.
Mzee mi nili kuwa naenda na mjomba wangu, tuna anzia Rwanda Kisha kwenda huko.Ngoja tutafute soko kwanza ila si wanavua maana sehemu kama Kinshasa Ina bahari
Mkuu kama we umeelewa inatosha kabisa... Huwezi kuchimba dhahabu usikutane na shaba. Shaba ipo ndani ya dhahabu...ni kwamba hujaelewa alichomaanisha?
Aise ila tatizo ni vitaKule vyakula kama maharage, mchele ni unyama, pia vinywaji kama juisi ni sawa maana kama Congo ya upande wa Zambia wanategemea sana vinywaji kutoka Zambia
Vibali vya kufanya biashara huko vipo je?Mzee mi nili kuwa naenda na mjomba wangu, tuna anzia Rwanda Kisha kwenda huko.
mimi sio mzuri wa kuangalia njia, naangalia hela tu na usalama wa mzigo.
Ya kweli haya WAKATI Wana ZIWA TANGANYIKA, moto Kongo na mabwawa mengi mengi..Peleka dagaa zina mzunguko mzuri. Black Sniper