Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
mkuu Dagaa tulizo kuwa tuna peleka ni hizi za mwanza.Ya kweli haya WAKATI Wana ZIWA TANGANYIKA, moto Kongo na mabwawa mengi mengi..
Duh Kuna mzunguko mkubwa sana wa kibiasharamkuu Dagaa tulizo kuwa tuna peleka ni hizi za mwanza.
Kuna sehemu ndo Kuna umoja wa soko lao, waki zipenda ni siku hiyo hiyo hata ziwe Lori 10.
ila una weza ziacha, aki patikana mteja una pigiwa simu.
Within 1 month shughuli kwisha.
Nakukubali Sana ndugu una JICHO LA KUONA FURSA NA KUZITUMIAmkuu Dagaa tulizo kuwa tuna peleka ni hizi za mwanza.
Kuna sehemu ndo Kuna umoja wa soko lao, waki zipenda ni siku hiyo hiyo hata ziwe Lori 10.
ila una weza ziacha, aki patikana mteja una pigiwa simu.
Within 1 month shughuli kwisha.
Congo Ina fursa nyingi sanaNakukubali Sana ndugu una JICHO LA KUONA FURSA NA KUZITUMIA
Hali ya insecurities eastern congo ndio inayo leta hofuCongo Ina fursa nyingi sana
Sema vita sio sehemu zote mahali kama Kinshasa hamna vita Eastern part kama Goma ndio Kuna shidaHali ya insecurities eastern congo ndio inayo leta hofu
mimi ni raisi wa ma jobless pro maxNakukubali Sana ndugu una JICHO LA KUONA FURSA NA KUZITUMIA
1. KinshasaHali ya insecurities eastern congo ndio inayo leta hofu
Asante mkuu kwa muongozo wako.1. Kinshasa
2. Lubumbashi
3. Kivu (North and South Kivu)
4. Bas-Congo
5. Kasai
Nadhani hizi sehem Zina mzunguko mzuri wa biashara
Mchele, sukari nili ona Wana peleka pia.Duh Kuna mzunguko mkubwa sana wa kibiashara
Aise Yani mzunguko wa Ile sehemu ni kwasababu ya hali ya kimaisha kule watu hawafanyi kazi sana alafu population kubwaMchele, sukari nili ona Wana peleka pia.
Njoo na feedback mkuuNitarudi
KAZI ni kipimo cha UTU
Panaitwa kasumbalesa mkuuKule vyakula kama maharage, mchele ni unyama, pia vinywaji kama juisi ni sawa maana kama Congo ya upande wa Zambia wanategemea sana vinywaji kutoka Zambia
Biashara zipo nyingi, ila vyakula vyote vinauzika kule Kongo wana ardhi nzuri lakini hawalimi sababu ya vita.!!Watu wengi wanaokwenda kuwekeza DRC Congo kutoka Tanzania hurudi wakiwa na utajiri mkubwa. Je, ni biashara gani hasa wanazofanya huko zinazowaletea mafanikio haya?
Aise itabidi niingie huko nisome ramani kwanzaBiashara zipo nyingi, ila vyakula vyote vinauzika kule Kongo wana ardhi nzuri lakini hawalimi sababu ya vita.!!
Halafu kingine kinachofanya watu watoboe wanatumia dollar, ukipeleka samaki, dagaa, unga uhakika wa pesa nje nje japo wengine wanaenda kuchimba madini..!!
CompetitionUkishindwa kutoboa tanganyika hakuna nchi iiliyozunguka yenye fursa kutuzidi,si mbaya kubadili mazingira ila fursa zipo humuhumu
shida sio hawa fanyi kazi, huo uzalishaji uta fanyika saa ngapi na wakati Wana kichafua kila saa.Aise Yani mzunguko wa Ile sehemu ni kwasababu ya hali ya kimaisha kule watu hawafanyi kazi sana alafu population kubwa