Fursa zilizopo DR Congo

Fursa zilizopo DR Congo

Ya kweli haya WAKATI Wana ZIWA TANGANYIKA, moto Kongo na mabwawa mengi mengi..
mkuu Dagaa tulizo kuwa tuna peleka ni hizi za mwanza.

Kuna sehemu ndo Kuna umoja wa soko lao, waki zipenda ni siku hiyo hiyo hata ziwe Lori 10.

ila una weza ziacha, aki patikana mteja una pigiwa simu.
Within 1 month shughuli kwisha.
 
Ukishindwa kutoboa tanganyika hakuna nchi iiliyozunguka yenye fursa kutuzidi,si mbaya kubadili mazingira ila fursa zipo humuhumu
 
Watu wengi wanaokwenda kuwekeza DRC Congo kutoka Tanzania hurudi wakiwa na utajiri mkubwa. Je, ni biashara gani hasa wanazofanya huko zinazowaletea mafanikio haya?
Biashara zipo nyingi, ila vyakula vyote vinauzika kule Kongo wana ardhi nzuri lakini hawalimi sababu ya vita.!!

Halafu kingine kinachofanya watu watoboe wanatumia dollar, ukipeleka samaki, dagaa, unga uhakika wa pesa nje nje japo wengine wanaenda kuchimba madini..!!
 
Aise itabidi niingie huko nisome ramani kwanza
 
Back
Top Bottom